MANCHESTER, England

Michezo na Burudani

United hawatanii kwa Mount

MANCHESTER United wapo tayari kutoa pauni milioni 55 kupata saini ya kiungo Mason Mount kutoka Chelsea. Arsenal na Liverpool pia…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

United watatoa £140m kwa Osimhen ?

PAUNI Milioni 140 inahitajika kwa klabu yoyote itakayotaka saini ya mshambuliaji, Victor Osimhen kutoka kwa mabingwa wapya wa ‘Serie A’…

Soma Zaidi »
Tanzania

Baraza la madiwani waikataa rasimu matumizi ya ardhi

MADIWANI wa Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha wameikataa rasimu ya mpango wa matumizi ya ardhi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali yakubali PPP bandari Dar, yataja sifa

SERIKALI imesema ni lazima kushirikisha sekta binafsi kuendesha Bandari ya Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame…

Soma Zaidi »
Biashara

BoT yaeleza sababu kuimarika uchumi

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeridhishwa na kasi ya ukuaji uchumi nchini unaotarajiwa kukua kwa asilimia 5.2 mwaka huu. Taarifa…

Soma Zaidi »
Podcast

Habari Kuu leo Mei 24, 2023

HABARI KUU. Mkusanyiko wa habari leo Mei 24’ 2023 

Soma Zaidi »
Fedha

IMF yaibua mapya mikopo ya China kwa taifa la Ghana

Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), limefichua maelezo kuhusu jinsi mikopo minne ya dhamana ya Ghana kutoka China imeiweka nchi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanne wanaswa Iringa wakielekea Afrika Kusini

SAFARI ya raia wanne wa Ethiopia waliopenya nchini kwa lengo la kuelekea Afrika Kusini bila kuwa na vibali imeishia mkoani…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanufaika TASAF wafaidika na Sh bilioni 3.1

Sh bilioni 3.1 zimekopeshwa kwa wanufaika wa mpango wa kusaidia kaya masikini unaoratibiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)…

Soma Zaidi »
Afya

Wema, Uwoya, Shilole, Kajala waunganisha nguvu msaada wa taulo

WAIGIZAJI Wema Sepetu, Irene Uwoya, Zuwena Mohamed, (Shilole) na Kajala Masanja wamejitolea taulo 30,000 zenye thamani ya Sh milioni 6.…

Soma Zaidi »
Back to top button