Na Rahimu Fadhili

Mafuta

Sh bilioni 30.39 zafidia wananchi bomba la mafuta

SERIKALI imeeleza kuwa Sh bilioni 30.39 zimetolewa kwa wananchi 7,486 kati ya 9,122 katika eneo la Mkuza ili kupisha ujenzi…

Soma Zaidi »
Bunge

Sh bilioni 762 kutekeleza SGR

SERIKALI imetoa jumla ya Sh bilioni 762. 99 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanaopaki magari Muhimbili sasa kulipia

WANAOPAKI magari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili watalazimika kulipia ili kuondoka changamoto ya msongamano wa vyombo vya usafiri vinavyoingia…

Soma Zaidi »
Afya

Sh Bil 193 zatengwa vituo vya afya

SERIKALI imetanga zaidi ya Sh bilioni 193 kwa ajili ya kupelekea vifaa tiba katika hospitali zilizojengwa nchini kwa mwaka wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

TRA yakusanya Sh Tril. 5.9 miezi mitatu

MAMLAKA ya Mapato Tanzania ‘TRA’ imesema imefanikiwa kukusanya Sh trilioni 5.9 ambazo sawa na asilimia 97.9 ya lengo la kukusanya…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Finland kujiunga Nato

Bendera ya Taifa la Finland inatarajiwa kuinuliwa katika makao makuu ya Nato huko Brussels, kuashiria kuwa mwanachama wa 31 wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

United yampa ulaji Luke Shaw

MANCHESTER United imetangaza kumpa mkataba mpya wa miaka minne beki wao Luke Shaw, mkataba utakaomuweka klabuni hapo hadi Juni, 30…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kiongozi wa mbio za mwenge aipongeza RUWASA Mtwara

KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 Abdallah Shaib amepongeza Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kagera yaachana na Makame

KLABU ya Kagera Sugar imethibitisha kuacha na aliyekuwa kiungo wao Abdulaziz Makame baada ya makubaliano ya pande zote. Taarifa iliyotolewa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Simba wapewa chao ahadi ya Samia

SIMBA SC wamekabidhiwa Sh milioni 5 baada ya kupata bao moja katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika waliopoteza mabao…

Soma Zaidi »
Back to top button