Na Veronica Mheta,Arusha

Tanzania

“Huduma za posta zifike vijijini kwa gharama nafuu”

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia, Nape Nnauye ameutaka Umoja wa Posta Afrika (PAPU) kutumia mtandao wao mpana na kupanua…

Soma Zaidi »
Tanzania

Sh bilioni 60 kuboresha miundombinu ya bandari Kanda ya Ziwa

SERIKALI imetenga Sh bilioni 60 kuboresha miundombinu ya bandari 15 zilizopo kwenye mikoa mitano ya Kanda ya Ziwa zinazosafirisha mizigo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Polisi yachangiwa gari, pikipiki

DHANA ya ushirikishwaji jamii imeendelea kulifaa Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa hii leo likipokea msaada wa gari moja aina…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bodi mpya Ruwasa yapigwa msasa

NAIBU Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi ameitaka bodi ya pili ya wakurugenzi wa Wakala wa Maji na Usafi wa…

Soma Zaidi »
Infographics

Waziri wa Ulinzi Uingereza aachia waraka mzito akijiuzulu

WAZIRI wa Ulinzi, Ben Wallace amejiuzulu wadhifa wake, na hivyo kumaliza muda wake wa miaka minne kama mmoja wa watu…

Soma Zaidi »
Infographics

Watu 63 wafa ajali ya moto Afrika Kusini

TAKRIBANI watu 63 wameuawa na zaidi ya 40 kujeruhiwa kufuatia moto kuwaka katika jengo la ghorofa katikati mwa jiji la…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Fati kukiwasha Brighton

MSHAMBULIAJI wa FC Barcelona, Ansu Fati anakaribia kujiunga na Brighton & Hove Albion kwa mkopo wa msimu mmoja. – Imeelezwa…

Soma Zaidi »
Infographics

NAOT yaridhishwa na utendaji MWAUWASA

TIMU ya wakaguzi kutoka Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (NAOT) imeridhishwa na utaalamu wa uondoshaji na jinsi ya kutibu…

Soma Zaidi »
Jamii

Huduma za kijamii kuwasogeza wamasai Tanga

BAADHI ya wànanchi wa jamii ya kifugaji ya Kimasai wakazi wa vijiji viwili vya Irkeepusi na Orchaniomeok vilivyoko katika kata…

Soma Zaidi »
Biashara

Wanawake Pwani wanavyonufaika na kilimo cha nazi

WAKINAMAMA mbalimbali kutoka Mkoa wa Pwani wamekuwa wakinufaika na kilimo cha nazi baada ya wawekezaji wengi kuwekeza katika bidhaa hiyo na kufanya kilimo hicho kupanda thamani. Akizungumza…

Soma Zaidi »
Back to top button