Fedha

‘Msisitizo diplomasia ya uchumi, upatikanaji masoko’

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali kuweka msisitizo katika utekelezaji wa diplomasia ya uchumi na…

Soma Zaidi »

ATCL yapunguza nauli wanaosoma China

SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATCL), imepunguza gharama za safari zao za ndege kwa wanafunzi wanaosafiri kutoka Tanzania kwenda China kutoka…

Soma Zaidi »

Yametimia baada ya miaka 22 fidia Mtwara

MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA), imewakabidhi fedha ya fidia wananchi wapatao 50, waliokuwa wanaidai mamlaka…

Soma Zaidi »

Kongamano la wanawake fursa za uchumi, utalii laja

TAASIS ya wanawake Lakimoja  imepanga kuwafikia wanawake nchini na kuwaelimisha kuhusu fursa ambazo hawajazifikia, lengo likiwa ni  kukuza uchumi wao…

Soma Zaidi »

‘Waelimisheni wanawake wajiunge majukwaa  ya uwezeshaji’

SERIKALI imezindua mwongozo wa kitaifa wa uanzishaji na uendeshaji majukwaa ya uwezeshaji wanawake kiuchumi, wenye lengo la kuleta ufanisi wa…

Soma Zaidi »

Ruvuma wana akiba ya kutosha ya chakula

MKUU wa Mkoa Ruvuma, Kanali Laban Thomas amesema mkoa huo una akiba ya chakula kutosheleza wananchi wake na kwamba kwa…

Soma Zaidi »

TRA yawapa elimu ya kodi wafanyabiashara Kagera

MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA), mkoani Kagera imekutana na wafanyabiashara, ili kutoa elimu juu ya mabadiliko mbalimbali ya sheria za…

Soma Zaidi »

Majaliwa aagiza wanunuzi waliokopa tumbaku wawajibishwe

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza wanunuzi wote waliochukua tumbaku za wakulima na hawajawalipa fedha wachukuliwe hatua za kisheria ikiwamo kufi…

Soma Zaidi »

Kilio cha wavuvi Mwanza chamfikia Kinana

WAVUVI wa Mikoa ya Mwanza na Mara, wamewasilisha kilio chao kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, wakilalamika…

Soma Zaidi »

Mgodi wakusudia kupunguza eneo ililotaka

MPANGO wa kupanua wigo wa uwekezaji katika mgodi wa dhahabu wa Barrick North Mara, uliyopo Nyamongo, Tarime, mkoani Mara umeendelea…

Soma Zaidi »
Back to top button