Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
SBL yawawezesha wanawake, vijana katika ujasiriamali
April 16, 2025
SBL yawawezesha wanawake, vijana katika ujasiriamali
“Sikuwa na uelewa wa kina juu ya umuhimu wa kuweka kumbukumbu na kufuata taratibu za kodi, lakini sasa..." Dorine Swai.
TAMISEMI yaomba Sh trilioni 11.78 Bajeti 2025/26
April 16, 2025
TAMISEMI yaomba Sh trilioni 11.78 Bajeti 2025/26
Sh trilioni 1.45 ni fedha za nje, zikiwa na lengo la kuendeleza miradi ya kimaendeleo katika maeneo mbalimbali.
Waanzisha ushirikiano wa kitaalamu sekta ya ujenzi
April 3, 2025
Waanzisha ushirikiano wa kitaalamu sekta ya ujenzi
OFISI ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baraza la Taifa la Ujenzi zimeingia makubaliano kwa ajili ya ushirikiano wa kitaalamu…
Exim yaboresha utoaji mikopo kwa watumishi wa umma kupitia Utumishi Portal
April 3, 2025
Exim yaboresha utoaji mikopo kwa watumishi wa umma kupitia Utumishi Portal
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mkopo huu unajumuisha bima ya maisha katika kipindi cha mkopo ambao mtumishi atachukua.
Thamani ya sekta ya benki yafikia tril 67/-
April 3, 2025
Thamani ya sekta ya benki yafikia tril 67/-
SEKTA ya benki inaendelea kufanya vizuri kiasi cha kufikisha thamani ya Sh trilioni 67. Akizungumza Dar es Salaam jana, Mkurugenzi…
Qatar yatangaza ajira 400 madereva mabasi, malori
April 3, 2025
Qatar yatangaza ajira 400 madereva mabasi, malori
QATAR kupitia Kampuni ya Mowasalat imetangaza fursa za ajira kwa Watanzania 400 wenye fani ya udereva. Taasisi ya Benjamin Mkapa…
Vita wafanyabiashara, machinga yaanza upya Iringa, wafanyabiashara wagomea tozo
April 1, 2025
Vita wafanyabiashara, machinga yaanza upya Iringa, wafanyabiashara wagomea tozo
WAFANYABIASHARA wa Manispaa ya Iringa, wakiongozwa na Shirikisho la Machinga, Umoja wa Masoko Manispaa ya Iringa, na Jumuiya ya Wafanyabiashara…
Mashirika ya Umma yaguswa uchaguzi mkuu
March 30, 2025
Mashirika ya Umma yaguswa uchaguzi mkuu
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Dk Mosses Kusiluka ameziagiza taasisi na mashirika yote ya umma kutumia vizuri huduma wanazotoa kushiriki na…
Katibu Mkuu Dk Mwamba akutana na Mkurugenzi Afritac East
March 29, 2025
Katibu Mkuu Dk Mwamba akutana na Mkurugenzi Afritac East
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dk Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Afritac East,…
Bomba la mafuta lapata ufadhili mradi ukifika 55%
March 28, 2025
Bomba la mafuta lapata ufadhili mradi ukifika 55%
MRADI wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) umepata sehemu ya kwanza ya ufadhili wa nje. Ufadhili kutoka…