Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Azania yaja na mikopo nafuu kwa Watanzania
December 2, 2025
Azania yaja na mikopo nafuu kwa Watanzania
KATIKA kuendeleza juhudi za Serikali kuboresha maisha ya Watanzania, Benki ya Azania imezindua huduma mbili za mikopo zinazolenga kuwawezesha wanafunzi…
Nyuki wageuzwa kisima cha mapato, uhifadhi mazingira
December 2, 2025
Nyuki wageuzwa kisima cha mapato, uhifadhi mazingira
MANISPAA ya Songea katika Mkoa wa Ruvuma ina simulizi nzito ya mizinga 78 ya nyuki inayohusu hatua za ujasiri na…
FCC yahimiza akili unde kukuza uwekezaji
December 2, 2025
FCC yahimiza akili unde kukuza uwekezaji
TUME ya Ushindani (FCC) imesema akili unde ikitumika ipasavyo italeta tija ikiwa ni pamoja na kuongeza uwekezaji. Kaimu Mkurugenzi Mkuu…
Vodacom wazindua huduma malipo kimataifa
November 30, 2025
Vodacom wazindua huduma malipo kimataifa
DAR ES SALAAM; KAMPUNI ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imezindua huduma ya malipo ya kimataifa, hatua inayoleta mapinduzi katika biashara…
Bandari ya Tanga yazidi kufunguka
November 30, 2025
Bandari ya Tanga yazidi kufunguka
TANGA: BANDARI ya Tanga imezidi kufunguka kutokana na kupokea meli za mizigo kwa wingi ambapo MV Parnia yenye mizigo ya…
Gavana BoT awaasa wahitimu uadilifu, uzalendo
November 29, 2025
Gavana BoT awaasa wahitimu uadilifu, uzalendo
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba, amewataka wahitimu wa Chuo cha Benki Kuu ya Tanzania kudumisha uadilifu,…
Prof Mkumbo atoa maagizo TISEZA, ataka mapinduzi kiuchumi
November 28, 2025
Prof Mkumbo atoa maagizo TISEZA, ataka mapinduzi kiuchumi
DAR ES SALAAM: WIZARA ya Nchi Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji imeiagiza Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu…
Mfanyabiashara Pedima aendelea kung’ara ubunifu, uongozi
November 27, 2025
Mfanyabiashara Pedima aendelea kung’ara ubunifu, uongozi
DAR ES SALAAM: Mfanyabiashara, Peter Mallya maarufu kama PEDIMA, ameendelea kuibua mvuto mkubwa katika tasnia ya biashara nchini kutokana na…
WHI yaagizwa kutoa elimu ya huduma zao
November 27, 2025
WHI yaagizwa kutoa elimu ya huduma zao
DAR ES SALAAM: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, ametoa…
Baraza la Mawaziri (SCTIFI) wakutana Kenya
November 25, 2025
Baraza la Mawaziri (SCTIFI) wakutana Kenya
JAMHURI ya Muungano wa Tanzania imeshiriki Mkutano wa 47 wa Baraza la Mawaziri wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji la…