Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Wadau waomba kuangalia upya sheria za kodi
January 28, 2025
Wadau waomba kuangalia upya sheria za kodi
BAADHI ya wafanyabiashara wameiomba serikali kuangalia zaidi utitiri wa sheria za kodi zinazowakandamiza ikiwemo ushuru wa huduma (Service Levy) unaotozwa…
Mapendekezo mabadiliko ya kodi kuwezesha biashara
January 28, 2025
Mapendekezo mabadiliko ya kodi kuwezesha biashara
BIASHARA ndogo na za kati (SMEs) nchini Tanzania ndio damu ya uchumi ikichangia zaidi ya asilimia 35 katika Pato la…
Puma Energy Tanzania wampongeza Rais Samia mazingira uwekezaji
January 27, 2025
Puma Energy Tanzania wampongeza Rais Samia mazingira uwekezaji
DAR ES SALAAM; KAMPUNI ya Puma Energy Tanzania imempongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mazingira bora na wezeshi…
Samia aanika wizi risiti za EFDs, stempu
January 25, 2025
Samia aanika wizi risiti za EFDs, stempu
RAIS Samia Suluhu Hassan ameanika namna baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu wanavyoghushi risiti za mashine za EFDs na stempu za…
Dk. Mwigulu – Jiungeni soko la hisa la DSM
January 24, 2025
Dk. Mwigulu – Jiungeni soko la hisa la DSM
DAR-ES-SALAAM: WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, ameipongeza Benki ya Azania kwa kuorodheshwa rasmi katika Soko la Hisa la Dar…
Wananchi wawezeshwa mikopo Pemba
January 24, 2025
Wananchi wawezeshwa mikopo Pemba
MIKOPO kwa njia ya kidijitali imeanza kutolewa na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) huku ikielezwa kuwa itawasaidia wananchi…
Changamoto, mbinu za kushinda vikwazo vya kodi katika biashara
January 24, 2025
Changamoto, mbinu za kushinda vikwazo vya kodi katika biashara
BIASHARA Ndogo na za Kati (SMEs) ndiyo moyo wa uchumi wa nchi kwa kuwa hufanya kazi kama kichocheo cha ukuaji,…
Samia acharuka ukwepaji kodi
January 24, 2025
Samia acharuka ukwepaji kodi
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kodi ya serikali lazima ilipwe na asitokee mtu yeyote anayetaka kukwepa kulipa kodi kwa kisingizio…
TIC yasajili miradi 16 ya bilioni 1/- Shinyanga
January 23, 2025
TIC yasajili miradi 16 ya bilioni 1/- Shinyanga
MWENYEKITI wa Bodi ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC ) Binilith Mahenge ameeleza Mkoa wa Shinyanga umekuwa ukifanya vizuri katika…
Serikali yahamasisha utumiaji huduma za fedha vijijini
January 23, 2025
Serikali yahamasisha utumiaji huduma za fedha vijijini
SERIKALI imebainisha kuwa itaendelea na utoaji wa elimu ya fedha na kuhamasisha utumiaji wa huduma za fedha vijijini ili kuwawezesha…