Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Mwenendo na Uhimilivu wa Deni la Serikali
June 12, 2025
Mwenendo na Uhimilivu wa Deni la Serikali
SERIKALI imesema hadi Aprili 2025, deni la Serikali lilikuwa shs trilioni 107.70. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema hayo…
Mfumuko wa bei wapungua
June 12, 2025
Mfumuko wa bei wapungua
DODOMA; Mfumuko wa bei nchini ulipungua na kufikia asilimia 3.1 mwaka 2024 ikilinganishwa na asilimia 3.8 mwaka 2023, Bunge limeelezwa.…
Serikali kutoa mafunzo ya mtaala ulioboreshwa kwa walimu nchini
June 11, 2025
Serikali kutoa mafunzo ya mtaala ulioboreshwa kwa walimu nchini
SERIKALI imesema itaendelea kutoa mafunzo ya mtaala uliboreshwa kwa walimu wote nchini ili kuhakikisha wanakuwa bora katika eneo la ufundishaji…
Samia: Mwelekeo safi mashirika ya umma
June 11, 2025
Samia: Mwelekeo safi mashirika ya umma
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema mashirika ya umma yana mwelekeo mzuri na yanajenga heshima ya nchi kutokana na mageuzi wanayofanya…
Samia: Mashirika, Taasisi za Umma zilinde uwekezaji wa Serikali
June 10, 2025
Samia: Mashirika, Taasisi za Umma zilinde uwekezaji wa Serikali
RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Mashirika na Taasisi za Umma kuhakikisha yanawajibika ipasavyo katika kulinda na kuendeleza uwekezaji…
Gawio Mashirika, Taasisi za Umma laongezeka 68%
June 10, 2025
Gawio Mashirika, Taasisi za Umma laongezeka 68%
KUFIKIA Juni 09, 2025 Gawio la Mashirika na Taasisi za Umma kwenda Mfuko Mkuu wa Serikali limeongezeka kutoka sh bilioni…
Korosho; ‘dhahabu’ inayofanya mageuzi ya kiuchumi Kusini
June 10, 2025
Korosho; ‘dhahabu’ inayofanya mageuzi ya kiuchumi Kusini
KWA miaka minne ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, mageuzi makubwa yamefanywa…
Manufaa lukuki ushiriki wa Tanzania maonesho Japan
June 10, 2025
Manufaa lukuki ushiriki wa Tanzania maonesho Japan
TANZANIA ni miongoni mwa nchi zinazoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Osaka (World Expo Osaka 2025) yanayoendelea nchini Japan. Yalianza Aprili…