Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Serikali: Tunahitaji Wawekezaji Wakubwa

Serikali: Tunahitaji Wawekezaji Wakubwa

DAR ES SALAAM: SERIKALI imetoa wito kwa wawekezaji wa kimataifa kuwekeza nchini kwa kiwango kikubwa na katika miradi ya kimkakati,…
Katibu Mtendaji Tume ya Mipango ateta na Bakhressa

Katibu Mtendaji Tume ya Mipango ateta na Bakhressa

DAR ES SALAAM; Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk Fred Msemwa, amekutana na Mfanyabiashara mashuhuri barani Afrika,…
CCM yaja na mambo 11 kukuza uchumi wa buluu

CCM yaja na mambo 11 kukuza uchumi wa buluu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema katika miaka mitano ijayo kitaielekeza serikali ifanye mambo 11 ili uchumi wa buluu uchangie maendeleo…
Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi jengo la ‘Viwango House’

Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi jengo la ‘Viwango House’

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Juni 4 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la Shirika la Viwango Tanzania…
Wizara ya Fedha yaomba kuidhinishiwa Sh Tril.20

Wizara ya Fedha yaomba kuidhinishiwa Sh Tril.20

DODOMA; WIZARA ya Fedha imewasilisha mafungu nane ikiomba kuidhinishiwa kiasi cha Sh trilioni 20.19 kwa mwaka wa fedha 2025/26 kwa…
Sekta ya nyama na mwanga wa matumaini

Sekta ya nyama na mwanga wa matumaini

SEKTA ya mifugo nchini inang’ara kwa matumaini mapya ya kiuchumi ikionesha ukuaji mkubwa unaochangia katika pato la taifa na kutoa…
Mwelekeo wa bajeti kwa mazao asilia ya biashara

Mwelekeo wa bajeti kwa mazao asilia ya biashara

“KATIKA mwaka 2025/2026 Wizara ya Kilimo itawawezesha wakulima kuongeza uzalishaji wa mazao asilia ya biashara ya pamba, kahawa, mkonge, korosho,…
Shirika lafafanua linavyokuza sekta ya maziwa

Shirika lafafanua linavyokuza sekta ya maziwa

MOROGORO: Shirika la Heifer International Tanzania limeendelea kuonesha mafanikio yake katika kubadilisha sekta ya maziwa nchini, kwa kipaumbele maalum katika…
Majaliwa akutana na Waziri Mkuu wa Japan

Majaliwa akutana na Waziri Mkuu wa Japan

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Japan, Ishiba Shigeru ambaye amemuhakikishia kuwa nchi hiyo itaendelea kuimarisha ushirikiano…
BRELA kutatua changamoto za usajili wafanyabiashara Kariakoo

BRELA kutatua changamoto za usajili wafanyabiashara Kariakoo

DAR ES SALAAM: Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imeanzisha kliniki ya biashara kwa wafanyabiashara wa eneo la…
Back to top button