Uchumi

Safari ya Tanzania Kuelekea Uchumi wa Kidijitali

Kutoka minara ya mawasiliano na Mkongo wa Taifa hadi ajira za mtandaoni, biashara za kidijitali na ubunifu wa vijana, Tanzania…

Soma Zaidi »

Kutoka ngurumo za jenereta madukani, hadi usikivu tulivu wa AC

Miaka mitano iliyopita, haikuwa jambo la ajabu kutembea katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusikia ngurumo za…

Soma Zaidi »

Bosi Oryx asifu mazingira bora uwekezaji sekta ya nishati

DAR ES SALAAM; Mkurugenzi Mkuu wa Oryx Energies Tanzania, Iman Mtafya, amesema mazingira bora ya uwekezaji yanayofanywa na Serikali katika…

Soma Zaidi »

Miaka mitano ya fursa mpya uchumi wa Tanzania

Rudisha  fikra nyuma kwa Tanzania ya mwaka 2021 yenye vijana waliokuwa wanajiuliza maswali kuhusu suala la ajira ziko wapi? Maswali…

Soma Zaidi »

Trilioni 76 za maendeleo zilivyoibadili Tanzania

Mwaka 2021, mkazi wa Sumbawanga aliyekuwa akihitaji huduma ya CT Scan au matibabu ya kibingwa mara nyingi alilazimika kusafiri kilomita…

Soma Zaidi »

Kilimo kuongoza ajenda mabadiliko ya uchumi

DODOMA:Serikali imesema itatoa kipaumbele kwenye sekta ya kilimo katika Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27, ikiitaja kuwa miongoni…

Soma Zaidi »

Londo: TBS ni nguzo kuu kulinda afya ya mlaji

DAR ES SALAAM; Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,  Dennis Londo, amelitaja Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuwa ni nguzo…

Soma Zaidi »

Kafulila azungumzia uchumi mataifa ya nje

MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amesema mfumo…

Soma Zaidi »

ATCL yarejesha huduma Chato

DODOMA; SERIKALI imesema Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), itarejesha safari zake za ndege ya abiria kwenye Uwanja wa Ndege wa…

Soma Zaidi »

Serikali yazungumzia hatua kuimarisha biashara kikanda

DODOMA; Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema serikali imeendelea kuchukua hatua za kuondoa vikwazo vya biashara visivyo vya…

Soma Zaidi »
Back to top button