Uchumi

Rais Samia kushuhudia viongozi Taasisi za Umma wakiteta

DAR ES SALAAM: Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Mkutano wa Viongozi wa Taasisi na Mashirika ya Umma unaotarajiwa kufanyika…

Soma Zaidi »

Tanzania yasaini mkopo wa Sh bilioni 70 Abu Dhabi

U.A.E, Abu Dhabi: Tanzania imetia saini mkopo wenye masharti nafuu wa Sh bilioni 69.9 (dola milioni 30) na Mfuko wa…

Soma Zaidi »

Sheria kurekebishwa kuongeza viwango bandari

DAR ES SALAAM: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imepanga kupokea maoni ya wadau kuhusu Muswada…

Soma Zaidi »

Serikali yajizatiti utafiti, umwagiliaji kuinua kilimo

NANENANE ni Sikukuu ya Wakulima nchini. Inahusisha pia sekta ya ufugaji na uvuvi ikiwa na hadhi ya Maonesho ya Kimataifa…

Soma Zaidi »

Vijana 420 wafundishwa kudhibiti sumu kuvu

VIJANA 420 kutoka mikao 13 nchini wamefundishwa kudhibiti sumu kuvu kwa kutengeneza vihenge vya chuma ili kumsaidia mkulima anapovuna na…

Soma Zaidi »

Abuni mashine kuchakata mafuta ya parachichi

MASHINE rahisi isiyotumia umeme imebuniwa kwa lengo la kuchakata mafuta ya parachichi. Mbunifu na Mtafiti kutoka Shirika la Utafiti na…

Soma Zaidi »

TRA: Vitenge vya nje vimepunguziwa kodi

VITENGE vinavyoagizwa nje ya nchi vimepunguzwa kodi na Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA), hivyo kutoa unafuu kwa wafanyabiashara. Mkurugenzi…

Soma Zaidi »

Machinga Iringa watangaza kurudi maeneo yasio rasmi

MACHINGA wanaofanya biashara katika soko la Machinga la Mlandege mjini Iringa, leo wametangaza kurejea katikati ya mji katika maeneo yasio…

Soma Zaidi »

TPDC kuongeza tija uzalishaji gesi

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC), limeanza kukarabati kisima namba moja cha kuzalisha gesi asilia Mnazi Bay, mkoani Mtwara, …

Soma Zaidi »

Kuboreshwa Bandari Kigoma kutachochea biashara

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, amesema kuwa ujenzi wa gati la kuegeshea boti kubwa katika bandari ya…

Soma Zaidi »
Back to top button