Uchumi

Ghana kununua mafuta kwa dhahabu

SERIKALI ya Ghana inafanyia kazi sera mpya ya kununua mafuta kwa dhahabu, badala ya akiba ya Dola za Marekani ili…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Mradi wa SGR ukamilike kwa wakati

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) na kwamba Serikali…

Soma Zaidi »

Mfumo wa umilikishwaji fukwe kupitiwa upya

NAIBU  Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja  amesema Wizara ya Maliasili na Utalii imependekeza kupitiwa upya kwa mfumo wa…

Soma Zaidi »

Jukwaa la Wakulima Afrika laipa 5 Tanzania

JUKWAA la Kikanda la Wakulima, Kusini mwa Afrika limempongeza serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa ongezeko kubwa la…

Soma Zaidi »

BOT kushusha riba hadi 9%

BENKI Kuu Tanzania (BOT) inaendelea kuchukua hatua mbali mbali ili  kushusha riba hadi asilimia 9 . Hayo yamesema na Gavana…

Soma Zaidi »

Samia azindua mradi wa vihenge, maghala

RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa vihenge na maghala ya kuhifadhia nafaka mkoani Manyara yenye uwezo wa kuhifadhi tani…

Soma Zaidi »

Bei elekezi vifurushi vya simu Januari

SERIKALI imeagiza watoa huduma za mawasiliano ya simu za mkononi wasibadili bei ya vifurushi vya simu hadi serikali itapotoa bei…

Soma Zaidi »

Sekta ya utalii yathamini afya kupitia pato lake

Wizara ya Maliasili na Utalii imeeleza kuwa inathamini afya ya mama na mtoto kupitia mapato ya utalii yanayotokana na maeneo…

Soma Zaidi »

Barabara ya kulipia yaja, sekta binafsi TRC, Tazara

WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi imesema inajipanga kubadilisha sheria ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) na Shirika…

Soma Zaidi »

Watakaochezea mifumo ya ukusanyaji mapato kukiona

WIZARA ya Fedha na Mipango imezindua Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma awamu ya sita itakayoimarisha mifumo…

Soma Zaidi »
Back to top button