Uwekezajia

Tozo matumizi miundombinu bandari kurudi TPA

DODOMA – SERIKALI imependekeza marekebisho kwenye Sheria ya Bandari ya Mwaka 2004 ili kurejesha jukumu la kukusanya tozo ya matumizi…

Soma Zaidi »

Benki yazindua akaunti ya mfugaji

DAR ES SALAAM: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua ‘Akaunti ya Mfugaji’ mahususi kwa ajili ya wadau wa sekta…

Soma Zaidi »

Kampuni 27 Ufaransa kuwekeza Tanzania

DAR ES SALAAM: UJUMBE wa wafanyabiashara kutoka kampuni 27 za Ufaransa upo nchini kwaajili ya kujadili fursa mbalimbali za uwekezaji.…

Soma Zaidi »

Kamati yapendekeza mapitio ya tozo Rocky City Mall

MWANZA: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imependekeza mapitio mapya ya tozo, ada mbalimbali zinazotozwa…

Soma Zaidi »

Serikali yaahidi raha sekta ya mawasiliano

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesisitiza nia ya Serikali kuunga mkono uwekezaji…

Soma Zaidi »

Saruji nyeupe kuitangaza Tanzania – Kigahe

MKURANGA, Pwani: SERIKALI imezitaka halmashauri nchini kuendelea kuboresha miundombinu sanjari na kutenga maeneo rafiki kwa uwekezaji na wawekezaji ili kuifikia…

Soma Zaidi »

RC Mwanza apokea ujumbe wa SBL

MWANZA: Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda (kushoto) akimsikiliza Meneja Mahusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Neema Temba,…

Soma Zaidi »

India yaonesha nia duru ya tano mnada wa vitalu

DAR ES SALAAM: Ubalozi wa India nchini umekutana na kufanya mazungumzo na Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli…

Soma Zaidi »

NBC yaja na kadi mpya, Dk Biteko akoshwa ufanikishaji miradi

Dodoma: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amepongeza jitihada za Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kuunga mkono…

Soma Zaidi »

Kodi 20% yashushwa kuvutia uwekezaji

KIGAMBONI, Dar es Salaam: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali imepunguza kodi ya makampuni kutoka asilimia 30 hadi 10 kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button