Featured

Featured posts

Watanzania wahimizwa kupenda nchi, kulinda amani

VIONGOZI wa dini na watu mbalimbali wametoa mwito kwa wananchi kuipenda nchi yao na kulinda amani kwa kuzingatia falsafa ya…

Soma Zaidi »

Wapinzani waguswa ahadi za Samia

VIONGOZI vya vyama vya upinzani wamesema Rais Samia Suluhu Hassan akitekeleza mambo aliyoahidi kuyafanya katika siku 100 tangu aapishwe, wananchi…

Soma Zaidi »

Yanga inakong’ota tu

DAR ES SALAAM; YANGA imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya KMC mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika…

Soma Zaidi »

UVCCM: Amani ya Tanzania ni faraja kwa majirani

DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida, amesema Tanzania ikiwa na amani…

Soma Zaidi »

Amani, umoja viwe msingi wa maisha kwa kila Mtanzania

ILI taifa lolote lipate maendeleo, kuna mambo ya msingi yanayopaswa kuzingatiwa, ikiwemo uwepo wa amani na utulivu. Amani katika nchi…

Soma Zaidi »

Serikali kutumia jitihada zote amani iendelee

RAIS Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuhakikisha mchakato wa mazungumzo ya maridhiano unafanikiwa ili kuwa na taifa lenye amani na umoja…

Soma Zaidi »

SMZ yapunguza tozo vyakula kudhibiti mfumuko wa bei

KATIKA kukabiliana na kudhibiti mfumuko wa bei za bidhaa za chakula uliojitokeza nchini, Shirika la Bandari la Zanzibar (ZPC) limetangaza…

Soma Zaidi »

Niffer, wenzake 21 kortini wakituhumiwa uhaini

DAR ES SALAAM; MFANYABIASHARA Jeniffer Jovin, maarufu ‘Niffer’(26)na wenzake 21wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakibabiliwa na makosa…

Soma Zaidi »

Hatma Wabunge Viti Maalumu mikononi mwa Tume

SHERIA ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 imeweka mwongozo wa namna ya kupata wabunge wa viti…

Soma Zaidi »

Rais Samia akabidhiwa nyaraka za kazi

DODOMA; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa nyaraka za kazi kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dk Moses…

Soma Zaidi »
Back to top button