Featured

Featured posts

Rais Samia kufanya ziara ya kikazi Brazil

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Brazil kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali…

Soma Zaidi »

MIL 272/- kumaliza ujenzi ofisi jimbo katoliki Bunda

WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameshiriki Misa Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Paulo na kuongoza harambee ya kumalizia ujenzi wa…

Soma Zaidi »

Wagombea wasioridhishwa Mtwara kuwasilisha pingamizi

MKUU wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala amewaomba wagombea wote ambao hawajaridhishwa na uteuzi kufuata taratibu zilizopo kwa ajili…

Soma Zaidi »

Malipo ya korosho yafanyike vyama vikuu vya ushirika

SERIKALI imeendelea kusisitiza kuwa malipo yote ya wakulima wa korosho yafanyike kupitia vyama vikuu vya ushirika katika msimu wa kilimo…

Soma Zaidi »

“Kanuni zilifuatwa kuengua wagombea”

MSIMAMIZI wa uchaguzi Jimbo la Kigoma Mjini, Kisena Mabuba amesema sheria na taratibu za uchaguzi ndizo zilizosababisha wagombea wa nafasi…

Soma Zaidi »

Mlipuko wa bomu waua watu 26 Pakistan

WATU 26 wamekufa na wengine wapatao 62 kujeruhiwa baadhi vibaya baada ya mtu aliyejitoa muhanga kujilipua kwa bomu leo kwenye…

Soma Zaidi »

Sanamu ya Baba wa Taifa yazinduliwa Kuba

SANAMU ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere imezunduliwa katika Bustani ya Mashujaa iliyopo mji mkuu wa Kuba,…

Soma Zaidi »

‘Utoaji huduma za jamii unaboreshwa’

NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Sospeter Mtwale amesema, Ofisi ya Rais-TAMISEMI inaendelea kuboresha utoaji wa huduma za jamii kwa…

Soma Zaidi »

Tanzania, Uganda zasaini uimarishaji mpaka wa kimataifa

TANZANIA na Uganda zimetia saini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa mwisho…

Soma Zaidi »

‘Majogoo’ kung’ang’ania kileleni EPL leo?

MICHEZO ya soka ya Ligi tano bora barani Ulaya inaendelea leo kwa mitanange kadhaa kwenye viwanja tofauti. Katika Ligi Kuu…

Soma Zaidi »
Back to top button