Featured

Featured posts

Tanesco waagizwa kupitia gharama za umeme vijijini

NAIBU Waziri wa Nishati amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji Shirika la Umeme (TANESCO)  Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga kufanya mapitio vijiji vinavyolipishwa kuunganisha umeme…

Soma Zaidi »

TRA kumaliza utata wa kodi Nyanghwale

MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA) ofisi za Geita imeendesha semina kwa wafanyabiashara wa Busolwa wilayani Nyang’hwale iliyolenga kuondoa dhana potofu…

Soma Zaidi »

Wananchi Kahama wachunguzwa saratani

WANANCHI 300 kutoka wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamefanyiwa uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi, matiti na tezi dume huku…

Soma Zaidi »

Dk Chana ataka matumizi ya Tehama ukusanyaji mapato

WAZIRI wa Maliasili na Utali, Balozi Dk Pindi Chana amemwagiza Kamishina wa Wakala wa Huduma na Misitu (TFS) Professa Do…

Soma Zaidi »

Watanzania washauriwa matumizi mazuri ya umeme

DAR ES SALAAM: Watanzania wametakiwa kuzingatia matumizi bora ya umeme ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanaondokana na matumizi yasiyokuwa ya…

Soma Zaidi »

Jifunze Kiswahili

We continue with letter CH Cheka,ku- Cheka means to laugh,also there are other word like  chekelea,chekesha,this also means to laugh…

Soma Zaidi »

Yanga, Simba viwanja tofauti Ligi Kuu wanawake leo

MECHI nne za raundi ya tatu Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara zinapigwa leo viwanja tofauti. Bingwa mtetezi Simba Queens…

Soma Zaidi »

Dk Mpango kuongoza ujumbe mkutano COP29

MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano wa Kimataifa wa Kukabiliana na Mabadiliko ya…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu katika mazungumzo bungeni

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) George Mkuchika, wakati wa kikao…

Soma Zaidi »

Pamba Jiji kuzindukia Tanzanite Kwaraa leo?

FOUNTAIN Gate leo ni wenyeji wa Pamba Jiji katika mchezo pekee wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye uwanja wa Tanzanite…

Soma Zaidi »
Back to top button