Featured

Featured posts

Bil 2/- kufikisha umeme wa jua Bukoba, Muleba

SERIKALI kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA) itatumia Sh bilioni 2.1 kufikisha umeme wa jua katika visiwa vya Ziwa Victoria…

Soma Zaidi »

Bil 19/- kusambaza umeme vitongojini Tabora

WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) unatekeleza mradi wa Shilingi Bilioni 19 wa kusambaza umeme katika vitongoji 180 utakaonufaisha kaya 5,940…

Soma Zaidi »

Geita waunda timu kukabiliana na mafuriko

MKUU wa Wilaya ya Geita, Hashimu Komba ameunda timu ya wataalamu itakayofanya ukaguzi na kutoa mapendekezo ya kukabiliana na mafuriko…

Soma Zaidi »

Utafiti kusaidia mapambano ya njaa ifikapo 2030

Serikali imepanga kufanya utafiti wa kina katika sekta za kilimo, uvuvi, na ufugaji ili kufikia malengo ya maendeleo endelevu ya…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi afungua Ofisi ya wakala wa ZIPA China

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amefungua rasmi ofisi ya wakala wa Mamlaka…

Soma Zaidi »

Jifunze Kiswahili

To day we are going to  look for the word which start with letter CH Chache means few,another word which…

Soma Zaidi »

Yanga kurejesha makali Ligi Kuu leo?

BAADA ya rekodi ya kutopoteza mchezo wala kufungwa bao raund nane kuingia doa, klabu ya Yanga leo inashuka dimbani dhidi…

Soma Zaidi »

Gamondi: Tabora ni ndogo ila tunawaheshimu

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema licha ya kwamba wanawazidi Tabora United kwa ubora wataingia uwanjani katika mchezo wa…

Soma Zaidi »

Msuva, Kapombe warejeshwa Taifa Stars

KOCHA Mkuu timu ya taifa “Taifa Stars’ Hemed Suleiman ametangaza kikosi cha wachezaji 26 watakaoingia kambini kujiandaa na michezo miwili…

Soma Zaidi »

Simba mawindoni Ligi Kuu leo

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja kufanyika Dar es Salaam. Klabu ya Simba itakuwa wenyeji wa KMC…

Soma Zaidi »
Back to top button