Featured

Featured posts

Dar City, JKT Stars hazikamatiki

KLABU ya mpira wa kikapu ya Dar City imeanza vyema mchezo wa robo fainali Ligi ya Kikapu mkoa wa Dar…

Soma Zaidi »

TCRA waanzisha kampeni ulinzi mitandaoni

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Kaskazini imeanzisha kampeni kuwahimiza Watanzania kujilinda dhidi ya uhalifu mitandaoni kwa lengo la…

Soma Zaidi »

Serikali yashtukia upigaji kituo cha afya

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inachunguza ujenzi wa kituo cha afya cha kata ya Ushirika wilayani Mbogwe…

Soma Zaidi »

Waogeleaji 70 wenye ulemavu kushindana Dar

WAOGELEAJI 70 wenye ulemavu wanatarajiwa kushindana Oktoba 12 katika mashindano ya pili ya kitaifa ya kuibua vipaji yakayofanyika, Upanga Dar…

Soma Zaidi »

Uchaguzi Mkuu Msumbiji kufanyika leo

WANACHI wa Msumbiji wanapiga kura leo katika uchaguzi mkuu wa Rais, Bunge la Taifa na mabunge ya majimbo. Wagombea urais…

Soma Zaidi »

Chana aelekeza Halmashauri kudhibiti moto misitu

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amezielekeza Halmashauri zote nchini kuzuia mianya inayosababisha moto kwenye maeneo ya…

Soma Zaidi »

Mgonjwa wa mpox agundulika Uganda

MTU mmoja amegundulika kuwa na ugonjwa wa mpox kwenye gereza la Nakasongola katika ya Uganda. Msemaji wa Idara ya Magereza…

Soma Zaidi »

Mpango aagiza ujenzi soko la kisasa Igunga

MAKAMU wa Rais Dkt. Philip Mpango ameiagiza Ofisi ya Rais – TAMISEMI kushughulikia ujenzi wa soko la kisasa la kituo…

Soma Zaidi »

JKCI, hospitali ya rufaa Chato kutibu moyo kisasa

TAASISI ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato imeanza kutoa huduma za…

Soma Zaidi »

Hatma ya Ten Hag kuamuliwa leo

TETESI za usajili barani Ulaya zinasema hatma ya kocha Erik ten Hag katika klabu ya Manchester United itaamuliwa wakati wa…

Soma Zaidi »
Back to top button