Infographics

Liverpool wapewa Atalanta robo fainali Europa

LIVERPOOL itacheza na Atalanta katika robo fainali ya Europa huku West Ham ikipangwa kumenyana na Bayer Leverkusen. ‘The Reds’ ambao…

Soma Zaidi »

Leseni za madini mkakati zatoka

DAR ES SALAAM: Katika  kipindi cha miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassani  leseni za uchimbaji mkubwa wa madini mkakati…

Soma Zaidi »

Biteko ataka kasi usambazaji umeme vijiji 127 Shinyanga

KISHAPU, Shinyanga: VIJIJI 127 kati ya  509 mkoani Shinyanga bado havijapata umeme, hali iliyoifanya serikali kuwataka wakandarasi  ambao wamechelewa kufikia…

Soma Zaidi »

Kishindo cha Miss Halima Kopwe Tanzania

DAR ES SALAAM: Miss Tanzania aliyewakilisha Tanzania katika shindano la Miss World 2024 Halima Kopwe amerejea Tanzania akitokea nchini India…

Soma Zaidi »

Vituo vya kisasa vya ukaguzi wa magari kujengwa mipakani

ARUSHA: Katika kuhakikisha ajali za Barabarani zinapungua kama sio kuisha kabisa, jeshi la polisi kwa kushirikiana na Shirika la Viwango…

Soma Zaidi »

Tanzania yapewa heko huduma za Mahakama

DAR ES SALAAM: Tanzania imepiga hatua kubwa katika shughuli za utoaji huduma za mahakama ikichagizwa na matumizi ya Tehama. Kauli…

Soma Zaidi »

Magandi: Virutubisho kunusuru vichwa vikubwa, mgongo wazi

DAR ES SALAAM: WANAWAKE wajawazito wametakiwa kutumia virutubisho ili kuwanusuru watoto kuzaliwa na tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi.…

Soma Zaidi »

Bodi, Menejimenti ya PPAA yanolewa kuhusu NeST

IRINGA: Manajimenti ya Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma (PPAA) imeshiriki mafunzo ya siku tano ya Mfumo wa Ununuzi…

Soma Zaidi »

Hitilafu yatokeo Gridi ya Taifa

SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO) limesema kuna hitilafu katika mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya…

Soma Zaidi »

Mbunge aishukuru serikali ujenzi wa barabara

MBUNGE wa Jimbo la Gairo, mkoani Morogro, Ahmed Shabiby ameipongeza serikali kwa kutoa fedha za kuanza kufanya usanifu wa barabara…

Soma Zaidi »
Back to top button