Infographics

‘Kama humuoni ndugu yako toa taarifa’

MANYARA: Hanang. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang mkoani Manaya, Rose Kamili, amewataka wananchi ambao hawafahamu ndugu zao walipo…

Soma Zaidi »

Rais Samia atoa maelekezo mafuriko Manyara

UAE; Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole na kutoa maelekezo kwa vyombo vinavyoshughulikia maafa yaliyotokea katika kijiji cha…

Soma Zaidi »

Mavunde akabidhi viti mwendo SHIVYWATA

MBUNGE wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amekabidhi vitu mwendo ,wheelchair’ vyenye thamani ya Sh milioni 4 kwa Shirikisho la Vyama…

Soma Zaidi »

Henry Kissinger afariki dunia

CONNECTICUT, Marekani : WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Nje wa Marekani na Mshauri Wa Usalama wa taifa hilo, Henry…

Soma Zaidi »

‘Tafiti zitumike kutatua changamoto kwa jamii’

JAMII inapaswa kunufaika na majibu chanya ya kisayansi yanayopatikana kupitia tafiti zinazofanywa kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali ulimwenguni. Ofisa…

Soma Zaidi »

Kesi 19 za ubakaji zawasilishwa mahakamani Shinyanga

JESHI la polisi mkoani Shinyanga limefanikiwa kufikisha kesi 19 mahakamani zaidi zinazotokana na tuhuma za makosa ya kulawiti na kubaka…

Soma Zaidi »

Wananchi Kanda ya Kaskazini Mashariki kunufaika na huduma za afya, usalama wa mtoto

WANANCHI 157,110 kutoka halmashauri za wilaya 42 ya mikoa tisa ya Kanda ya Kaskazini Mashariki wanatarajia kunufaika na huduma za…

Soma Zaidi »

UTPC waanzisha kampeni dhidi ya ukatili wanawake, watoto

Soma Zaidi »

Wakulima, wafugaji, wavuvi Kanda ya Ziwa wapewa elimu kilimo ajira

ZAIDI ya wakulima, wafugaji na wavuvi 2000 kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa wamefuaika na elimu ya kilimo kutoka Benki…

Soma Zaidi »

Simba SC kukamilisha malipo ya Teungueth

SIMBA SC imesema haikuwa na mawasiliano na klabu ya Teungueth ya Senegal hivyo kushindwa kumalizia deni lao lililotokana na kuuziwa kiungo…

Soma Zaidi »
Back to top button