Muziki

Mdundo yaanika mpango wa kuwajaza wasanii bilioni 5.7/-

DAR ES SALAAM: Mdundo, jukwaa kinara barani Afrika la usambazaji wa muziki, linaendelea kubadilisha tasnia ya muziki kwa kuwawezesha wasanii…

Soma Zaidi »

Tamasha la ‘Flying Family Choir’ kutikisa Dar Juni 29

DAR ES SALAAM: Kwaya ya Flying Family inayojumuisha waimbaji kutoka madhehebu mbalimbali ya kikristo wenye vipaji vya uimbaji  imendaa tamasha…

Soma Zaidi »

Tanzania yaandaa tuzo za Hap Awards

DAR-ES-SALAAM: TUZO za Kimataifa zinazojulikana kama Hap Awards zinatarajia kufanyika nchini  Tanzania katika ukumbi wa  The Super Dome Masaki Agosti…

Soma Zaidi »

Snura aacha muziki

DAR-ES-SALAAM: MWIMBAJI wa muziki wa mduara nchini, Snura Mushi ametangaza kuacha muziki kuvitaka vyombo vya habari na wote wenye nyimbo…

Soma Zaidi »

Mwaitege akanusha uzushi wa kifo

DAR-ES-SALAAM: Mwimbaji wa Nyimbo za Injili nchini,Boniface Mwaitege  amekanusha taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa yeye amefariki. Akikanusha taarifa…

Soma Zaidi »

Usher akumbuka alivyotelekezwa na Baba

MAREKANI – Mwimbaji wa R&B-pop wa Marekani Usher Raymond IV – Usher ametoa hotuba ya kusisimua wakati akipokea tuzo ya…

Soma Zaidi »

Harmonize aachia rasmi Muziki wa Samia

MTANDAONI:Msanii wa bongo fleva Rajabu Abdul ‘Harmonize’,  ameachia rasmi albamu yake ya tano ijulikanayo kama Muziki wa Samia. Msanii huyo…

Soma Zaidi »

Chibu; Sidondoki mpaka Mungu aseme

DAR ES SALAAM: Msanii  wa Muziki wa Bongo Fleva,Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” amesema bado yupo sana kwenye muziki mpaka pale…

Soma Zaidi »

Diamond; Nikikupa moyo wangu unadondoka puuh!

DAR ES SALAAM: Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz amesema yeye ni binadamu mvumilivu mno…

Soma Zaidi »

Diamond: Siongei sana, nishavuka huko

DAR ES SALAAM :Msanii wa Bongo Fleva Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz amesema mwaka huu amejipanga kufanya muziki mzuri wa…

Soma Zaidi »
Back to top button