Jamii

Kaya 77 zenye watu 463 zaagwa Ngorongoro

KAYA 77 zenye watu 463 na mifugo 1,408 waliohama kwa hiari kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Msomera wameagwa leo katika…

Soma Zaidi »

Katibu Mkuu Kilimo kuzindua benki ya mbegu kesho

KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli kesho atazindua benki ya kisasa ya mbegu yenye uwezo wa kuhifadhi mbegu kwa miaka…

Soma Zaidi »

‘Samia anaendeleza kwa kasi kubwa maono ya JPM’

GEITA; Chato. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko leo amejumuika na viongozi na wananchi mbalimbali katika misa…

Soma Zaidi »

Kamati ya bunge yaipa  5 serikali

SONGEA: Kamati ya Kudumu ya Bunge Utawala , Katiba na Sheria imeipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya Rais…

Soma Zaidi »

TEMESA yaanza kufanyia kazi malalamiko ya wateja

SIMIYU: Wakala Wa Ufundi na Umeme (TEMESA) imeanza kufanyia kazi malalamiko ya wateja wake, ambao wengi walilalamikia gharama kubwa za…

Soma Zaidi »

Washindwa kuchota maji ya bomba kwa kukosa muuzaji

KATAVI: Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Katavi, Idd Kimanta ametoa siku mbili kupatikana huduma ya maji katika Kijiji cha Wachawaseme…

Soma Zaidi »

Madereva wenye 3D kuendelea kukamatwa

ARUSHA: Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha limebainisha kuwa kikosi hicho kinaendelea na operesheni ya kuwakamata…

Soma Zaidi »

Ufaransa yaipa tano serikali miradi ya maji

UFARANSA: Serikali ya Ufaransa imesema inatambua na kuthamini jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika dhamira ya kuimarisha huduma ya…

Soma Zaidi »

Polisi: Imamu hajatekwa anatuhumiwa uhalifu

GEITA: JESHI la Polisi mkoani Geita linamshikilia Imam wa msikiti wa Nyankumbu mjini Geita, ambaye pia ni mwalimu wa madrassa,…

Soma Zaidi »

Viongozi wapewa mbinu kumaliza kero za wananchi

KATAVI: Mwenyekiti Wa CCM Mkoa wa Katavi, Idd Kimanta amesisitiza utunzaji wa siri za vikao, ushirikiano, upendo, ushirikiano wa chama…

Soma Zaidi »
Back to top button