Jamii

DAWASA yatakiwa kupunguza upotevu wa maji

DAR ES SALAAM: KAMATI ya Kudumu ya Bunge, Uwekezaji na Mitaji ya Umma imewataka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi…

Soma Zaidi »

Zari atoa neno kwa Zuchu

DAR ES SALAAM; Zari Hassan ambaye ni mzazi mwenza wa msanii, Naseeb Abdul ‘Diamond’, amempa sifa msanii Zuhura Othman ‘Zuchu’…

Soma Zaidi »

“Wapeni fursa sawa watoto wenye ulemavu wa akili”

DAR ES SALAAM; Jamii imetakiwa kuhakikisha watoto wenye ulemavu wa akili wanapata fursa sawa za elimu na maendeleo katika jamii…

Soma Zaidi »

LAAC washtukia upigaji fedha ujenzi wa hospitali

KILIMANJARO: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imetoa maelekezo kwa watendaji wa Halmashauri ya…

Soma Zaidi »

Askari aliyetuhumiwa kumchapa mtoto na kumjeruhi aachiwa huru

SIMIYU: Mahakama ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu imemwachia huru askari, Abati Benedicto wa kituo cha Polisi Bariadi ambaye alikuwa…

Soma Zaidi »

Kagera mambo mazuri utekelezaji miradi ya barabara

SERIKALI ya Awamu ya Sita imetoa kiasi cha Sh bilioni 431 kwa kipindi cha miaka mitatu kwa ajili ya kutekeleza…

Soma Zaidi »

Madereva bajaji, bodaboda wafundwa madhara dawa za kulevya

ARUSHA: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usafirishaji…

Soma Zaidi »

Tamisemi yatakiwa kutoa orodha shule za SEQUI

DODOMA: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imeielekeza Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutoa orodha…

Soma Zaidi »

Maofisa ugani kukabiliana na migogoro ya ardhi

WAZIRI wa mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amezindua mafunzo rejea kwa maofisa ugani zaidi ya 1000 nchini ambapo amewaagiza kuweka mikakati…

Soma Zaidi »

AUWSA kupeleka maji sekondari Mringa

KAMATI ya Siasa Mkoa wa Arusha imeiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) kurekebisha mifumo…

Soma Zaidi »
Back to top button