KAGERA : JUMLA ya wanafunzi 21,267 sawa na asilimia 34.4 ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2024 wameanza…
Soma Zaidi »Jamii
MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde amewataka wajasiriamali wa Jiji la Dodoma kuchangamkia fursa mbalimbali zilizopo Dodoma na…
Soma Zaidi »KATAVI: Mkuu wa Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, Jamila Yusuf ametembelea na kukagua hatua za mwisho za umaliziaji mradi wa…
Soma Zaidi »KATAVI: Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi, Onesmo Buswelu ametangaza kiama kwa wazazi wote ambao hadi sasa hawajawapeleka…
Soma Zaidi »GEITA: MWANAUME mmoja mkazi wa mtaa wa Kilimahewa, Mamlaka ya mji mdogo wa Katoro wilayani Geita, Kubilu Mahege (20) amemuua…
Soma Zaidi »DODOMA: Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda ameingia uwandani kutatua na kufuatilia utekelezaji wa maagizo yake…
Soma Zaidi »MANYARA: Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara linawashikilia watu 21 kwa tuhuma za kujihusisha na uhalifu wa makosa ya kimtandao…
Soma Zaidi »KIGOMA: WIZI wa mita za maji umetokea katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Kigoma Ujiji ambapo watu wasiojulikana wamedaiwa kuiba…
Soma Zaidi »NJOMBE: Wananchi wa Iwawa wilayani Makete Mkoa wa Njombe wametakiwa kuacha kufanya matukio ya mauaji ambayo yamekuwa yakileta taharuki kwa…
Soma Zaidi »MOROGORO: Ofisi ya wakili mkuu wa serikali [OWMS] imeenza kutumia mfumo wa mashauri wa mahakama wa kielektroniki ili kuongeza matumizi…
Soma Zaidi »




