Jamii

Wanne wakamatwa uharibifu miundombinu SGR

WATU wanne wamekamatwa kutokana na kuharibu miundombinu ya reli ya kisasa ya treni ya umeme (SGR), kati ya hao watatu…

Soma Zaidi »

Msako mkali Mwanza kuwabaini wahalifu

MWANZA: JESHI Polisi mkoani Mwanza limeendelea kufanya misako mbalimbali dhidi ya watu wanaojihusisha na matukio ya kihalifu ili kuwaepusha wakazi…

Soma Zaidi »

Ushirikiano Serikali, viongozi wa dini kuendelezwa

KAGERA: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, amesema Rais Samia Suluhu Hassan  ataendelea kutoa ushirikiano kwa…

Soma Zaidi »

Kinara dawa za kulevya adakwa

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imemkamata kinara wa mtandao wa wafanyabiashara…

Soma Zaidi »

Korokoroni kwa kumuua mdogo wake

JESHI la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia Asteria Renatus (34) mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Mwajuli Wilaya ya Kwimba mkoani…

Soma Zaidi »

10 mbaroni kwa mauaji

MWANZA: Jeshi la polisi mkoani Mwanza limewakamata watuhumiwa 10 kwa mauaji ya Yumen Elias (54) aliyekuwa mlinzi katika eneo la…

Soma Zaidi »

DC aagiza maji ya visima yapimwe

KATAVI; Mpanda. Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf ameziagiza mamlaka za afya na maji kushirikiana, ili kuainisha idadi ya…

Soma Zaidi »

Usafiri wa treni mikoani wasitishwa

DAR ES SALAAM:SHIRIKA la Reli (TRC) limesitisha huduma za usafiri wa treni, kutoka Dar es Salaam kuelekea katika mikoa ya…

Soma Zaidi »

Dugange: Fuatilieni afya zenu kama AFCON

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Afya Dk Festo Dugange amewakumbusha wananume kufuatilia afya zao na Afya za Watoto…

Soma Zaidi »

Bunduki za kivita zanaswa kwenye msako

KIGOMA: POLISI mkoani Kigoma imefanikiwa kukamata jumla ya bunduki 16 aina mbalimbali zikihusishwa kutumika kwenye matukio ya uhalifu mkoani humo…

Soma Zaidi »
Back to top button