Jamii

Majaliwa atoa maelekezo watendaji wanawake

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ameagiza kuimarishwa kwa kanzi data ya viongozi na maofisa watendaji wakuu wanawake katika sekta ya umma…

Soma Zaidi »

jando , unyago vyachangia ukatili wa kijinsia

MTWARA: MKOA wa Mtwara umetajwa kuwa miongoni mwa mikoa inayochangia kwa kiasi kubwa ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto wa…

Soma Zaidi »

Gwajima: Pato la taifa linateketea kupambana na ukatili

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali za nchi…

Soma Zaidi »

Mikoa 3 vinara ukatili wa Kijinsia

DAR ES SALAAM: MIKOA ya Mara, Kagera na Dodoma imetajwa kuwa kinara wa matukio ya ukatili ikiwamo vipigo, mauaji na…

Soma Zaidi »

Watumishi Mbongwe wakaliwa kooni

GEITA: WATUMISHI wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wametakiwa kufanya kazi kwa weledi, kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za utumishi…

Soma Zaidi »

“Halmashauri zote Mtwara ziandae mpango kukabiliana na El-Nino

NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu  Ummy Nderiananga amezitaka halmashauri zote mkoani Mtwara kuandaa mipango ya…

Soma Zaidi »

TAMWA: Waathirika wa rushwa ya ngono pazeni sauti zenu

DAR ES SALAAM; CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na wadau wakiwamo wa Mfuko wa  Udhamini …

Soma Zaidi »

“Wahitimu vyuo vikuu watatuzi changamoto za jamii”

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema vyuo vikuu ni viwanda vya kupika wataalamu wa nyanja mbalimbali ambao baada ya…

Soma Zaidi »

Kigogo walia mafuriko

DAR ES SALAAM, Wakazi wa Kigogo Kati jijini Dar es Salaam wamelalamikia kero ya mto kibanga kuleta maafa kwa wakazi…

Soma Zaidi »

Maofisa uhamiaji mbaroni tuhuma za mauaji Kakonko

KIGOMA: POLISI mkoani Kigoma imewakamata maafisa wanne wa idara ya uhamiaji Mkoa wa Kigoma wakituhumiwa kuhusika na mauaji ya mfanyabiashara…

Soma Zaidi »
Back to top button