Jamii

DC ataka viongozi wa dini washirikishwe lishe bora

TANGA; Kilindi. Mkuu wa wilaya ya Kilindi, Hashim Mgandilwa amewataka wataalamu wa lishe kushirikiana na viongozi wakiwemo wa dini katika…

Soma Zaidi »

Fatma Karume: Muungano haujaathiri Wazanzibari

MJANE wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume, Fatma Karume amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haujawaathiri Wazanzibari. Alisema…

Soma Zaidi »

Wahalifu wasakwa nyumba kwa nyumba

GEITA; JESHI la Polisi mkoani Geita limetangaza kuanza oparesheni ya nyumba kwa nyumba inayolenga kuwasaka, kuwafichua na kuwakamata watu wote…

Soma Zaidi »

Mwangaza sheria ya mtoto kudhibiti ukatili

GEITA: UELEWA duni pamoja na kupuuzwa kwa sheria ya mtoto ya mwaka 2009 miongoni mwa wazazi, walezi na taasisi imetajwa…

Soma Zaidi »

Mvulani mbaroni akidaiwa kunajisi

MTWARA: MVULANA mmoja (14) mkazi wa kijiji cha Mnete Kitongoji cha Chiano Kata ya Nalingu iliyopo halmashauri ya Wilaya ya…

Soma Zaidi »

Wanafunzi Shinyanga kufundishwa maadili

SHULE za msingi, sekondari na vyuo mkoani Shinyanga zimetakiwa kuanzisha vilabu vya maadili kwa wanafunzi ili kuwajengea uzalendo,wenye uwajibikaji na…

Soma Zaidi »

‘Maendeleo ya teknolojia yamguse mwanamke’

ARUSHA; KASI ya maendeleo ya teknolojia lazima yamguse mwanamke kutokana na wanawake hasa wa vijijini kwani nao wana mchango mkubwa…

Soma Zaidi »

Samia: Mkataba bandari unaenda kuongeza mapato

DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema mikataba iliyoingiwa kati Serikali na kampuni ya DP World ya nchini Dubai, inaenda kuongeza…

Soma Zaidi »

Waomba msaada wamalizie ujenzi wa madarasa

KIGOMA; SHULE ya Msingi Kigadye iliyopo Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma,  inakabiliwa na changamoto kubwa ya mrundikano mkubwa wa wanafunzi…

Soma Zaidi »

Wajivunia Tamasha la Serengeti Lite

DAR ES SALAAM: ZAIDI ya wajasiriamali 500 wamenufaika na  fursa za kibiashara kwa kuuza bidhaa mbalimbali pamoja na kutengeneza mtandao…

Soma Zaidi »
Back to top button