Jamii

Mradi wa maji Kemondo wafikia asilimia 87

MRADI wa maji wa Kemondo-Maruku unaotekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa), umefikia asilimia 87 kwa…

Soma Zaidi »

Wapongeza mradi wa maji Mushabaiguru

WAKAZI wa Kijiji Mushabaiguru, Kata Kihanga wilayani Karagwe, wameipongeza serikali kwa kuhakikisha inarejesha amani katika familia zao baada ya mradi…

Soma Zaidi »

TASAC yaagiza abiria jeuri washughulikiwe

SHIRIKA la Uwakala wa Huduma za Meli Tanzania (TASAC), limewataka wamiliki na waendeshaji wa vyombo vidogo vya usafiri majini (boti…

Soma Zaidi »

TPDC mguu sawa ulipaji fidia Mtwara

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC), leo  limeanza kufanya mchakato wa mwisho wa kulipa fidia kwa wananchi 255, ambao…

Soma Zaidi »

Afungwa jela maisha kwa kusafirisha dawa za kulevya

MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, masjala ndogo ya Mbeya, imemhukumu Keneth Mwamwaja kifungo cha maisha…

Soma Zaidi »

Jela maisha kwa kulawiti mtoto wa miaka mitano

MKAZI wa Kijiji cha Wangutwa wilayani Wanging`ombe mkoani Njombe, Yuda Nyang`oya (30) amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa…

Soma Zaidi »

Mwalimu auawa na mpenzi, kisa milioni 13/- za mkopo

MWALIMU wa Shule ya Msingi Lagangabilili mkoani Simiyu, Monica Patrick anadaiwa kuuawa na mpenzi wake, Muddy Ramadhan ili apate Sh…

Soma Zaidi »

Mambo yaanza Miss Pwani 2023

Mkoa wa Pwani umezindua rasmi kuanza kwa shindano la Miss Pwani mwaka 2023. Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Pwani,…

Soma Zaidi »

Serikali yakamilisha ujenzi majosho 7 Msomera

SERIKALI imekamilisha ujenzi wa majosho saba kwa ajili ya kuoshea mifugo, miradi kwa ajili ya malisho ya mifugo ambapo maandalizi…

Soma Zaidi »

‘Mimba, ndoa za utotoni bado changamoto’

LICHA ya takwimu zilizotolewa Mei 25, 2022 kuonesha idadi ya wanafunzi walioacha shule kutokana na mimba kupungua kwa asilimia 12.8…

Soma Zaidi »
Back to top button