Jamii

Filamu za kimkakati kuandaliwa

Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia Bodi ya Filamu Tanzania na Michezo ya Kuigiza imeandaa Mkakati madhubuti wa kuandaa…

Soma Zaidi »

Mapambano ndoa, mimba za utotoni safari ya mafanikio Rukwa

JUHUDI katika kutoa elimu kuhakikisha watoto wa kike wanapata haki ya kuendelea na masomo yao bila vikwazo zimewezesha mpango mkakati…

Soma Zaidi »

Jamii yahimizwa elimu uhifadhi mazingira

NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Khamis Hamza Khamis ameitaka jamii kuwa mstari wa mbele katika…

Soma Zaidi »

Polisi Geita yapokea pikipiki ulinzi kimkakati

JESHI la Polisi mkoani Geita limepokea pikipiki 50 zenye thamani ya Sh milioni 175 kwa lengo la kuimarisha ulinzi na…

Soma Zaidi »

Samia atoa mil 50/ kuwezesha wanawake wa Samia

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu ametoa kiasi cha Sh milioni 50 kwa Taasisi ya Wanawake na Samia Mkoa wa Geita…

Soma Zaidi »

Mil 348/- kuwezesha mikopo halmashauri Iramba

MKUU wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Suleiman Yusuph Mwenda amewataka vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kuunda vikundi vya…

Soma Zaidi »

Wajane 100 wapatiwa kadi za NHIF Mtwara

WAJANE 100 wamepatiwa kadi za Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kutoka Taasisi isiyokuwa ya serikali mkoani Mtwara ya…

Soma Zaidi »

Uwajibikaji kuondoa magonjwa mlipuko

USHIRIKISHWAJI na uwajibikaji katika jamii ni njia pekee itakayosaidia kupambana na magonjwa ya milipuko na majanga kabla na baada ya…

Soma Zaidi »

“Jamii zidumishe tamaduni kuvutia watalii”

JAMII zimeshauriwa kufanya matamasha ya tamaduni zao katika kijiji cha Makumbusho na katika maeneo yao ya asili ikiwa ni njia…

Soma Zaidi »

NEMC yatoa elimu kikundi cha wanawake na Samia

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeendesha semina ya siku moja ya elimu ya Uhifadhi na…

Soma Zaidi »
Back to top button