Jamii

Mobeto apokea ubalozi mpya.

DAR-ES-SALAAM: Mwanamitindo Hamisa Mobetto ameendelea kufanya vizuri katika kazi zake na kupata ubalozi wa bidhaa ya Spaghetti huku akisema juhudi…

Soma Zaidi »

Wanamitindo wa kimataifa watengenezwe

DAR-ES-SALAAM: MWANAMITINDO Mstaafu wa kimataifa, Tausi Likokola ameishauri Tanzania itoe wanamitindo wengi bora wanaokidhi vigezo vya kimataifa. Akizungumza na HabariLEO,…

Soma Zaidi »

Dkt Biteko akemea ukwamishaji maendeleo

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka viongozi kushirikiana na kuheshimiana ili kuchochea maendeleo ya watu…

Soma Zaidi »

Wasomi, wanasiasa watoa neno mabadiliko serikalini

DAR-ES-SALAAM: KUNG’OLEWA katika Baraza la Mawaziri kwa wanasiasa vijana wawili, Nape Nnauye na January Makamba kumeacha gumzo, lakini wasomi, viongozi…

Soma Zaidi »

Serikali Yawataka Wasanii Kurejesha Mikopo

DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma amewataka wasanii wa sanaa nchini  kurejesha mikopo waliyopewa…

Soma Zaidi »

Wazazi watakiwa kupeleka watoto shule

GEITA:Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameeleza kuwa, Serikali itawachukulia hatua wazazi wote  wasiopeleka watoto wao…

Soma Zaidi »

Mwaitege akanusha uzushi wa kifo

DAR-ES-SALAAM: Mwimbaji wa Nyimbo za Injili nchini,Boniface Mwaitege  amekanusha taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa yeye amefariki. Akikanusha taarifa…

Soma Zaidi »

Mradi wa bil 60/- umwagiliaji kunufaisha wakulima

KIGOMA: WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuleta mapinduzi sekta ya umwagiliaji hivyo miradi yote…

Soma Zaidi »

41,168 kunufaika mradi wa maji Arusha

ARUSHA: WANANCHI 41,168 wa vijiji sita kata ya Akheri Wilayani Arumeru Mkoani Arusha wameanza kunufaika na mradi wa maji safi…

Soma Zaidi »

Mabadiliko ya mfumo yarahisishwa kwa vijana

DAR-ES-SALAAM: Mashirika ya vijana, wadau wa maendeleo na serikali walikutana jijini Dar es Salaam kujadili jinsi vijana wanavyoweza kukabiliana na…

Soma Zaidi »
Back to top button