Jamii

Serikali kutatua changamoto za vijana

DODOMA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Ridhiwani Kikwete amesema serikali iko tayari…

Soma Zaidi »

Kamera za ulinzi kufungwa

KAGERA: NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo amesema serikali iko mbioni kufunga mitambo ya kamera za…

Soma Zaidi »

Tanzania yaandaa tuzo za Hap Awards

DAR-ES-SALAAM: TUZO za Kimataifa zinazojulikana kama Hap Awards zinatarajia kufanyika nchini  Tanzania katika ukumbi wa  The Super Dome Masaki Agosti…

Soma Zaidi »

Serikali kutatua mgogoro wa ardhi ngara

KAGERA: WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imepokea malalamiko ya mgogoro wa ardhi kati ya wananchi na Jeshi la…

Soma Zaidi »

Snura aacha muziki

DAR-ES-SALAAM: MWIMBAJI wa muziki wa mduara nchini, Snura Mushi ametangaza kuacha muziki kuvitaka vyombo vya habari na wote wenye nyimbo…

Soma Zaidi »

Serikali yaonya upotoshaji utekaji watoto

DAR ES SALAAM; Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni ameonya kuhusu kuibuka  watu na baadhi ya vyombo…

Soma Zaidi »

Mbaroni kwa kumpa mimba mtoto wake

SONGWE; MAHAKAMA ya Wilaya ya Momba mkoani Songwe imemfikisha mahakamani Issa Mgode (44), mkazi wa Kijiji cha Kokoto, Kata ya…

Soma Zaidi »

Akatwa kiganja cha mkono kwa wivu wa mapenzi

MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Katente wilayani Bukombe, mkoa wa Geita, Rehema Paulo (26) amejeruhiwa na kitu chenye ncha kali…

Soma Zaidi »

Jasinta Makwabe: Someni kabla ya kuingia mitindo

MWANAMITINDO Jasinta David Makwambe amewashauri vijana wanaotamani kuingia kwenye sekta ya Mitindo kusoma kwanza ili kutumia elimu watakayopata kufanikisha ndoto…

Soma Zaidi »

Tausi Likokola kurudi tena kwa jamii

MWANAMITINDO mstaafu wa kimataifa, Tausi Likokola amesema anaandaa ‘documentary’ ambayo sehemu ya mapato yake atarudisha kwa jamii. Likokola amesema kipindi…

Soma Zaidi »
Back to top button