TAKRIBANI watu 170 wakiwemo wanawake na watoto wameuawa katika mashambulizi dhidi ya vijiji vitatu nchini Burkina Faso, mwendesha mashtaka wa…
Soma Zaidi »Africa
CHAMA cha ACT Wazalendo kimeridhia uamuzi wa Juma Duni Haji kujitoa kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa ACT Taifa. ACT imefikia…
Soma Zaidi »SOMALIA: Somalia imekuwa mwanachama kamili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya kukamilisha hatua zote zinazohitajika ili kupata uanachama…
Soma Zaidi »SERIKALI ya Uganda, imesema huenda ikalazimika kupitia upya sera yake ya kuwapa hifadhi wakimbizi, ikiwa jumuiya ya kimataifa itaendelea kusalia…
Soma Zaidi »MIAKA miwili baada ya kuuawa, mwanaharakati wa upinzani nchini Zimbabwe Moreblessing Ali hatimaye amezikwa katika Mji wa Chitungwiza, Harare. Ali…
Soma Zaidi »LAGOS, Nigeria: Mchekeshaji na Mwigizaji mkongwe kutoka Nollywood, John Okafor ama Mr Ibu, amefariki dunia usiku huu akiwa na umri…
Soma Zaidi »WANAJESHI wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wanaondoka katika kambi ya Kamanyola nchini DR Congo, huku polisi wakichukua jukumu…
Soma Zaidi »WANAFUNZI 17 kutoka shule tano katika jimbo la Yobe, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria wamekufa kufuatia mlipuko wa homa ya uti…
Soma Zaidi »RAIS wa Senegal, Macky Sall amethibitisha kuwa ataachia ngazi muda wake utakapokamilika Aprili 2, 2024. Rais Sall alibainisha kuwa “mazungumzo…
Soma Zaidi »TAKRIBANI watu 24 waliokuwa wakielekea Ulaya wamekufa baada ya mashua waliyokuwa wakisafiria kuzama katika Pwani ya Kaskazini mwa Senegal, maofisa…
Soma Zaidi »





