Africa

Rais Salva Kiir awafuta kazi mawaziri wawili

RAIS wa Sudan Kusini, Salva Kiir amewafuta kazi mawaziri wawili na gavana wa jimbo la Warrap kaskazini mwa nchi hiyo.…

Soma Zaidi »

Vifo vya dengue vyafikia 570 Burkina Faso

UGONJWA wa homa ya dengue umesababisha vifo vya watu 356 nchini Burkina Faso kati ya katikati ya Oktoba na katikati…

Soma Zaidi »

Waliokufa mafuriko Somalia wafikia 96

IDADI ya watu waliofariki kutokana na mafuriko Somalia imepanda hadi 96, Shirika la Habari la Serikali SONNA limeripoti. – “Idadi…

Soma Zaidi »

Nigeria kujiunga BRICS, G20

NDANI ya miaka miwili, Nigeria itakuja kuwa mwanachama wa kundi la BRICS, pamoja na G20, amesema Waziri wa Mambo ya…

Soma Zaidi »

Watu 17 wapoteza maisha ajali ya lori Nigeria

WATU 17 wamekufa na zaidi ya 208 kujeruhiwa baada ya lori lililowabeba kuanguka katika jimbo la Niger nchini Nigeria, kikosi…

Soma Zaidi »

Wanajeshi walinda amani 15,000 kuondoka Congo

UJUMBE wa Umoja wa Mataifa wa kuleta amani nchini DR Congo (MONUSCO) umetia saini mkataba wa kuwaondoa wanajeshi 15,000 wa…

Soma Zaidi »

Wabunge Afrika Kusini wapiga kura kusitisha uhusiano na Israel

WABUNGE wa Afrika Kusini wamepiga kura Jumanne kuunga mkono kufungwa kwa ubalozi wa Israel mjini Pretoria na kusimamisha uhusiano wote…

Soma Zaidi »

Al-Shabab kuondolewa Somalia

RAIS wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud amesema taifa hilo lina muda wa mwaka mmoja kuliondoa kundi la wanamgambo wa Al-Shabaab…

Soma Zaidi »

Watu 37 wafariki mkanyagano usajili wa wanajeshi Congo

TAKRIBANI watu 37 wamefariki katika mkanyagano wakati wa harakati za kuwasajili wanajeshi katika uwanja wa michezo nchini Congo, serikali imesema.…

Soma Zaidi »

Wafuasi watatu wa Rais mteule Liberia wafa

WATU* watatu wamekufa na wengine 20 wako hospitalini nchini Liberia baada ya gari kuwagonga wafuasi wa Rais mteule, Joseph Boakai,…

Soma Zaidi »
Back to top button