RAIS mteule wa Libeŕia, Joseph Boakai, ambaye alimshinda Rais George Weah amesema utawala wake utaangalia kwa makini maafikiano ya uchimbaji…
Soma Zaidi »Africa
CHAMA cha kiongozi wa upinzani wa Senegal aliyefungwa jela, Ousmane Sonko kimesema kitamteua mgombea mbadala wa nafasi ya urais katika…
Soma Zaidi »TAKRIBANI watu saba wameuawa katika majibizano ya risasi na waasi wa M23 huko Kivu Kaskazini, Mashariki mwa DR Congo. –…
Soma Zaidi »Zaidi ya wafungwa 4,000 waachiwa Nigeria SERIKALI ya Nigeria imetangaza kuwaachia wafungwa zaidi ya 4,000 ili kupunguza msongamano magerezani. –…
Soma Zaidi »TAKRIBANI kaya 80,000 nchini Kenya zimeathiriwa na mvua kubwa, mafuriko na maporomoko ya ardhi wiki iliyopita, Naibu wa Rais amesema.…
Soma Zaidi »ZIMBABWE imetangaza hali ya dharura katika mji Mkuu wa Harare kufuatia mlipuko wa Kipindupindu. – Mlipuko huo hadi sasa umeua…
Soma Zaidi »RAIS wa Liberia George Weah amekubali kushindwa katika uchaguzi na kiongozi wa upinzani Joseph Boakai baada ya ushindani mkali wa…
Soma Zaidi »MAFURIKO nchini Somalia yaliyosababisha vifo vya watu 31, mpaka kufikia jana, yameleta shida ya ukosefu wa chakula. Takribani watu milioni…
Soma Zaidi »RAIS wa Nigeria, Bola Tinubu amekutana na maofisa wa juu wa Benki ya Maendeleo ya Kiislamu (IsDB) kujadili msaada wa…
Soma Zaidi »HARARE – MWANAHARAKATI wa Chama cha Wananchi (CCC) aliyetekwa wakati wa kampeni huko Mabvuku, Harare nchini Zimbabwe amepatikana ameuawa, chama…
Soma Zaidi »









