Kimataifa

KENYA: Odinga apewa saa tatu kupinga matokeo ya uchaguzi mahakamani

JOPO la mawakili wa mgombea urais wa Azimio la Umoja, Raila Odinga na mgombea mwenza Martha Karua lina saa tatu…

Soma Zaidi »

Mikhail Gorbachev: Kiongozi aliyemaliza vita baridi afariki akiwa na miaka 91

Mikhail Gorbachev, Kiongozi wa mwisho wa Muungano wa Sovieti na ambaye anatajwa kumaliza Vita Baridi amefariki dunia akiwa na umri…

Soma Zaidi »

Mambo 9 yatakayo amua hatima ya urais Kenya

MAHAKAMA ya Juu Zaidi nchini Kenya imeweka wazi kuhusu masuala tisa muhimu ambayo imepanga kuyasikiliza na kuyatolea maamuzi kuhusu shauri…

Soma Zaidi »

Mahakama yatupilia mbali ombi la Ruto kuhusu tuhuma za udukuzi

MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya imetupilia mbali ombi la Rais Mteule William Ruto la kupinga matumizi ya hati ya kiapo…

Soma Zaidi »

Serikali yajipanga kufanya sensa ya kidijiti kwa walemavu

KIGALI RWANDA inaendelea na maandalizi kabambe ya sensa inayotumia mfumo wa  kidijiti kwa walemavu ambayo itakuwa sensa ya kwanza kuwahi…

Soma Zaidi »

Rais Kagame ahimiza uzalishaji wa chai bora

RAIS Paul Kagame amewataka wakulima wa Rwanda kujitahidi kuzalisha chai iliyo bora na itakayoweza kushindana katika soko la dunia ili…

Soma Zaidi »

Tanzania yawasilisha miradi ya tril 3/- TICAD

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania imewasilisha miradi minane yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.334 (sawa…

Soma Zaidi »

Mtanzania kuongoza majaji kesi ya urais Kenya

JAJI Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mohammed Chande Othman anaongoza ujumbe wa majaji na wataalamu wa sheria wa Afrika (AJJF) kufuatilia…

Soma Zaidi »

Akimbia Kilometa 90 kumthibitishia mchumba waoane

Mwanaume mmoja huko Afrika Kusini amejipatia umaarufu katika mitandao ya kijamii, baada ya kukimbia umbali wa Kilometa 90 kumthibitishia mpenzi…

Soma Zaidi »

Gari ya Princess Diana yauzwa bil1.7/- mnadani

GARI maarufu ya kifamilia katika miaka ya 80 iliyokuwa ikitumiwa na Princess Diana wa Uingereza imeuzwa kwa zaidi ya Sh…

Soma Zaidi »
Back to top button