Kimataifa

Mahakama kutoa hukumu ushindi wa Ruto

MAHAKAMA Kuu ya Kenya leo inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo…

Soma Zaidi »

Ruto: Utulivu Kenya ni kwa neema za Mungu

RAIS mteule William Ruto amesema utulivu uliopo nchini Kenya baada ya Uchaguzi wa Agosti 9 ni kwa neema za Mungu.…

Soma Zaidi »

Baadhi ya Kampuni Ulaya zaomba msamaha vikwazo Urusi

KAMPUNI kadhaa za Kiestonia zimeomba msamaha wa muda wa vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Urusi ili kuendelea kuagiza…

Soma Zaidi »

Afrika kusini kubadili sarafu zake kuruhusu lugha 11 

BARAZA la Mawaziri la Afrika Kusini limeidhinisha muundo mpya wa sarafu ambao utakuwa na maandishi katika lugha 11 rasmi za…

Soma Zaidi »

Odinga aendelea kufuatilia kesi yake

Picha ikimuonesha mgombea Urais wa Azimio Raila Odinga akifuatilia moja kwa moja kesi aliyofungua katika Mahakama ya Juu nchini Kenya…

Soma Zaidi »

Abiria mwingine afariki dunia ndani ya KQ

ABIRIA mwingine amefariki ndani ya ndege ya shirika la ndege la Kenya Airways ikiwa ni karibu wiki mbili tangu kisa…

Soma Zaidi »

Kwaheri Mikhail Gorbachev  

RAIS wa zamani wa USSR, Mshindi wa tuzo ya Nobel, Mikhail Gorbachev aliaga dunia Agosti 30 mwaka huu, akiwa na…

Soma Zaidi »

Tanzania, Qatar kushirikiana sekta ya Afya

UJUMBE wa Tanzania uliopo ziarani nchini Qatar umekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Hamad Medical Corporation (HMC) Jijini Doha,…

Soma Zaidi »

Urusi yasitisha usambazaji gesi Ufaransa ikidai malipo ya Julai

KAMPUNI kubwa ya nishati inayomilikiwa na serikali ya Urusi, Gazprom ilithibitisha Jumanne kuwa imesitisha usambazaji wa gesi kwa kampuni ya…

Soma Zaidi »

Wakili wa Odinga adai IEBC haiwezi kuaminiwa

WAKILI mkuu  James Orengo wa mgombea urais wa Azimio la Umoja nchini Kenya Raila Odinga, ameiambia Mahakama ya Juu kwamba…

Soma Zaidi »
Back to top button