Kimataifa

Trump aondoa vikwazo kwa Syria

WASHINGTON DC : SERIKALI ya Marekani imeiondolea Syria baadhi ya vikwazo, kufuatia kutiwa saini kwa mkataba wa makubaliano kati ya…

Soma Zaidi »

Iran yalaumiwa kwa vitisho dhidi ya IAEA

TEHRAN: MATAIFA ya Ufaransa, Ujerumani na Uingereza yamelaani vikali kile walichokiita vitisho vya Iran dhidi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika…

Soma Zaidi »

Wakimbizi Sudan kukumbwa na baa la njaa

KHARTOUM : SHIRIKA la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetoa onyo kuwa mamilioni ya watu waliokimbia makazi yao kutokana na…

Soma Zaidi »

Rais Museveni kugombea tena urais

UGANDA : RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni (80), ametangaza rasmi nia ya kugombea tena urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika…

Soma Zaidi »

TikTok yapata mnunuzi, majina yahifadhiwa

WASHINGTON DC : RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema kuna kundi la wawekezaji wenye uwezo mkubwa kifedha walioko tayari kununua…

Soma Zaidi »

Ukraine kujiondoa kwenye Mkataba wa Ottawa

KYIV, UKRAINE : RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, ametia saini amri ya kuiondoa rasmi nchi yake kutoka kwenye Mkataba wa…

Soma Zaidi »

Wachimbaji 11 wa dhahabu wapoteza maisha

KHARTOUM : KAMPUNI ya Rasilimali ya Madini Sudan (SMRC) imethibitisha kuwa wachimbaji 11 wa dhahabu wamefariki dunia baada ya kuangukiwa…

Soma Zaidi »

Iran yaikosoa Israel kuhusu usitishaji mapigano

TEHRAN : SERIKALI ya Iran imetangaza kutokuwa na imani na hatua ya Israel ya kutangaza usitishaji wa mapigano, ikisema bado…

Soma Zaidi »

Iran yaitahadharisha Marekani kuhusu mashambulio

TEHRAN: KIONGOZI Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amesema taifa lake liko tayari kujibu kwa nguvu kubwa endapo Marekani itafanya…

Soma Zaidi »

Wapalestina 56 wauawa Gaza

GAZA, PALESTINA : IDARA ya Ulinzi wa Raia katika Ukanda wa Gaza imethibitisha kuwa watu 56 wameuawa Alhamisi, Juni 26,…

Soma Zaidi »
Back to top button