Kimataifa

Mazungumzo ya amani DRC, Rwanda yaendelea Doha

DOHA: MJUMBE Maalum wa Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu masuala ya Afrika, Massad Boulos, amekutana leo mjini Doha na…

Soma Zaidi »

Marekani yaitetea Israel kuzuia misaada Gaza

UHOLANZI : MAREKANI imeitetea Israel mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), kuhusu uamuzi wake wa kuzuia misaada ya…

Soma Zaidi »

DRC: ICRC yaanza kuhamisha wanajeshi waliokwama Goma

GOMA : KAMATI ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imeanza rasmi zoezi la kuhamisha mamia ya wanajeshi na polisi wa…

Soma Zaidi »

Hungary yapiga kura kujiondoa ICC

HUNGARY : BUNGE la Hungary limepiga kura kuunga mkono kujiondoa kwa nchi hiyo kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC),…

Soma Zaidi »

Vietnam kuwaachia huru wafungwa 8,000

HANOI: SERIKALI ya Vietnam imepanga kuwaachia huru wafungwa zaidi ya 8,000, wakiwemo raia 25 wa kigeni kutoka mataifa tisa, ikiwa…

Soma Zaidi »

China, Urusi waongoza mitambo ya nyuklia

BEIJING : MATAIFA ya China na Urusi yameibuka vinara wa maendeleo ya teknolojia ya nyuklia duniani, baada ya kubainika kuwa…

Soma Zaidi »

BRICS yapingana na ushuru wa Trump

BRAZIL : SERA mpya za ushuru zilizowekwa na Rais wa Marekani, Donald Trump, zimechukua nafasi kubwa katika ajenda ya mkutano…

Soma Zaidi »

Watu 26 wauawa kwa bomu Nigeria

NIGERIA: TAKRIBAN watu 26 wamefariki dunia baada ya lori walilokuwa wakisafiria kukanyaga bomu la kutegwa ardhini katika barabara ya kijiji…

Soma Zaidi »

Amnesty yaikosoa serikali ya Trump

MAREKANI: SHIRIKA la Kimataifa la Kutetea Haki za Binadamu, Amnesty International, limetoa ripoti yake ya kila mwaka na kukosoa vikali…

Soma Zaidi »

Wadau wakutana Nairobi kujadili changamoto za wakimbizi Afrika

"Wajasiriamali na jamii za wakimbizi tayari wana vipaji na ustahimilivu. Wanahitaji tu upatikanaji wa haki wa masoko na mitaji,"

Soma Zaidi »
Back to top button