Kimataifa

Watu 80000 wamekimbia makazi DRC

DR CONGO: SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia wakimbizi (UNHCR) limesema watu  elfu themanini wamekimbilia nchi jirani kufuatia mzozo…

Soma Zaidi »

Rais Macron kulihutubia Taifa

UFARANSA: Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, anatarajiwa leo jioni kulihutubia taifa katika kipindi hiki cha kutokuwa na uhakika, huku changamoto…

Soma Zaidi »

“Sitaki uchokozi” Kim Jong Un

KOREA KASKAZINI : SERIKALI ya Korea Kaskazini imelaani Marekani kwa kile ilichokiita uchokozi wa kisiasa na kijeshi, kufuatia kuwasili kwa…

Soma Zaidi »

Canada yaiwekea vikwazo Rwanda

CANADA : SERIKALI ya Canada imetangaza vikwazo vya kiuchumi na kisiasa dhidi ya Rwanda, ikisema vikosi vyake vinasaidia kundi la…

Soma Zaidi »

Gabon: Jen.Oligui Nguema atangaza kugombea urais

LIBREAVILLE, GABON : KIONGOZI wa kijeshi wa Gabon, Jenerali Brice Oligui Nguema, ametangaza rasmi azma yake ya kugombea urais katika…

Soma Zaidi »

Marekani kusitisha misaada ya kijeshi Ukraine

WASHINGTON DC: RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameagiza kusitishwa kwa misaada yote ya kijeshi kwa Ukraine kufuatia mvutano wake na…

Soma Zaidi »

Kenya wadhibiti mlipuko wa ugonjwa usiojulikana

KENYA : WIZARA ya Afya nchini Kenya imeanza uchunguzi wa mlipuko wa ugonjwa usiojulikana ambao umeathiri zaidi ya watu 200…

Soma Zaidi »

Zarif aomba kujiuzulu kufuiatia shinikizo la wanasiasa

TEHRAN : MAKAMU wa Rais wa Iran, Mohammed Javad Zarif, amewasilisha barua ya kujiuzulu, hatua inayotafsiriwa kama ishara ya kusalimu…

Soma Zaidi »

DR Congo yakanusha kukamatwa FDLR

DR CONGO : JESHI la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) limetangaza kukataa taarifa za kukamatwa kwa wapiganaji 20 wa…

Soma Zaidi »

Zelenskyy kukutana na viongozi wa Ulaya

RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema bado kuna uwezekano wa kurekebisha uhusiano wake na Marekani, baada ya majibizano makali na…

Soma Zaidi »
Back to top button