Kimataifa

Mafuriko yaua 30 Nigeria

NIGERIA : MSEMAJI wa Kitaifa  na msimamizi wa masuala ya dharura nchini Nigeria Ezekiel Manzo, amesema idadi ya watu waliopoteza …

Soma Zaidi »

Harris na Trump wakutana tena

MAREKANI : WAGOMBEA urais wa Marekani Kamala Harris na Donald Trump wamekutana tena katika Kumbukumbu ya Mashambulizi ya Septemba 11,…

Soma Zaidi »

Shambulizi Israel laua waru 40

ISRAEL : WATU 40 wameuawa na wengine 60 kujeruhiwa kufuatia shambulizi la Israel kwenye kambi ya Wapalestina waliokimbia makazi yao…

Soma Zaidi »

Apple kulipa kodi euro bil.13

IRELAND : KAMPUNI ya teknolojia nchini Marekani -Apple imetakiwa kulipa euro bilioni  13  ikiwa ni kodi ambayo haijalipwa kwa Ireland…

Soma Zaidi »

Wafungwa 1700 waachiwa huru

UINGEREZA : ZAIDI ya wafungwa 1,700 nchini Uingereza na Wales wataachiliwa huru mapema hii leo, kama sehemu ya mpango wa…

Soma Zaidi »

Trump na Harris wachuana kwa karibu

MAREKANI : MAKAMU wa Rais Kamala Harris na Rais wa zamani Donald Trump wameendelea kuchuana kwa karibu katika mbio za…

Soma Zaidi »

Gonzalez aahidi mapambano

VENEZUELA : KIONGOZI wa upinzani nchini Venezuela Edmundo Gonzalez, ameahidi kuendeleza  mapambano  dhidi ya Rais wa Venezuela  Nicolas Maduro hata…

Soma Zaidi »

Urusi yashutumiwa hujuma za mtandao

UJERUMANI : IDARA  ya upelelezi Ujerumani imeishutumu Urusi kuhusika na hujuma dhidi ya wanasiasa na kampuni za Ujerumani. Kwa kushirikiana…

Soma Zaidi »

Sudan yakataa ujumbe wa umoja wa mataifa

SUDAN : SERIKALI ya Sudan imekataa kuletwa kwa ujumbe wa Umoja wa Mataifa uliokusudia kufanya tathmini ya vita vinavyoendelea nchini…

Soma Zaidi »

Rais Samia akutana na Watanzania wanaoishi China

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na Watanzania wanaoishi nchini China (Diaspora) wakiwemo wafanyakazi, wanafunzi…

Soma Zaidi »
Back to top button