Kimataifa

Uganda yapewa mkopo dola miiioni 600

UGANDA : BENKI ya Dunia (WORLD BANK) kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetangaza kuipa Uganda mkopo…

Soma Zaidi »

Rutunga apewa kifungo miaka 20 jela

RWANDA : MAHAKAMA nchini Rwanda imemkuta na hatia Venant Rutunga  kwa kushiriki mauaji ya kimbari ya mwaka 1994, na kumuhukumu…

Soma Zaidi »

Teknolojia ya akili mnemba kudhibitiwa

UINGEREZA : SERIKALI ya  Uingereza imeungana na Umoja wa Ulaya na Marekani   kutia saini mkataba wa kwanza wa kimataifa kuhusu…

Soma Zaidi »

Euro milioni 50 kusaidia Gaza

BERLIN : WAZIRI wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock amesema Berlin itaongeza  misaada ya kibinadamu yenye thamani ya…

Soma Zaidi »

Moto waua wanafunzi 17 Kenya

KENYA : RAIS wa Kenya, William Ruto ameuagiza uongozi wa Wizara ya  mambo ya ndani kuanza kufanya uchunguzi wa tukio…

Soma Zaidi »

Mwanariadha Cheptegei afariki dunia

MWANARIADHA wa Olimpiki, Rebecca Cheptegei amefariki dunia ikiwa ni siku chache baada ya kumwagiwa petroli na kuchomwa moto na aliyekuwa…

Soma Zaidi »

Papa Francis kukutana na viongozi wa dini

INDONESIA : KIONGOZI  wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis anatazamiwa leo kusisitiza utangamano wa kidini, atakapokutana na viongozi wa dini…

Soma Zaidi »

Watu wanne wapigwa risasi Georgia

MAREKANI : WATU  wanne wameuawa baada ya mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 kufyatua risasi katika shule ya sekondari huko…

Soma Zaidi »

Dymtro atangaza kujiuzulu

UKRAINE : SPIKA wa Bunge la Ukraine Ruslan Stefanchuk, amesema waziri wa mambo ya nje Dmytro Kuleba amewasilisha barua yake…

Soma Zaidi »

Bobi Wine kufanyiwa upasuaji

UGANDA : KIONGOZI wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu Bobi Wine amepangwa kufanyiwa  upasuaji baada ya kudaiwa kupigwa…

Soma Zaidi »
Back to top button