Kimataifa

Uteuzi wa Rais Maduro hali ni tete

MAREKANI: Serikali ya Venezuela  imeendelea kupata shinikizo la kimataifa la kuhalalisha  ushindi wa Rais Nicholas Maduro ambaye hakushinda uchaguzi uliofanyika…

Soma Zaidi »

CNE kuwasilisha majumuisho ya kura

VENEZUELA: Rais wa Venezuela Nicolas Maduro amesisitiza kuwa chama chake kiko tayari kuwasilisha majumuisho yote ya kura kutokana na uchaguzi…

Soma Zaidi »

Maelfu wamzika kiongozi wa Hamas

ISRAEL: Maelfu ya watu wamejitokeza kwenye mazishi ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas, Ismail Haniyeh, nchini Iran ambaye aliuawa katika…

Soma Zaidi »

Kesi ya Septemba 11 kunguruma wiki ijayo

MAREKANI: Wanaume watatu wanaotuhumiwa kupanga mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11, 2001 wamekubaliana na upande wa mashtaka kabla ya kesi…

Soma Zaidi »

Jen Abdel Fattah anusurika kufa Sudan

SUDAN: Mkuu wa Jeshi la Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amenusurika kufa katika jaribio la mauaji lililosababisha vifo vya watu…

Soma Zaidi »

DRC Congo na Rwanda kumaliza mapigano

ANGOLA: MAWAZIRI wa Mambo ya Nje wa DRC Congo na Rwanda wamekubaliana kuanza mazungumzo ya kurejesha amani Mashariki mwa DRC …

Soma Zaidi »

Kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh auawa

TEHRAN: Kiongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas la Palestina Ismail Haniyeh ameuwa katika mji mkuu wa Iran, Tehran, vyombo…

Soma Zaidi »

Saudi Arabia kuandaa kombe la dunia 2034

UFARANSA: Saudi Arabia imeshawasilisha stakabadhi zake za kuonyesha nia ya kugombea kuandaa Kombe la Dunia la 2034 katika mji mkuu…

Soma Zaidi »

Macron ampigia simu Rais wa Iran

UFARANSA: Rais wa Ufaransa,Emmanuel Macron amempigia simu Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian na kumuomba aache kuiunga mkono Urusi katika vita…

Soma Zaidi »

Polisi wadhibiti maandamano Venezuela

VENEZUELA: Vikosi vya usalama nchini Venezuela vimerusha mabomu ya kutoa machozi na risasi za mpira dhidi ya raia walioamua kuandamaana…

Soma Zaidi »
Back to top button