Gesi
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
-
Sh tri.121 zaokolewa matumizi gesi asilia
SERIKALI imeokoa kiasi cha shilingi trilioni 121, sawa na dola za Marekani bilioni 52 tangu kuanza kutumia nishati ya gesi…
Soma Zaidi » -
TPDC waanza utekelezaji bomba la gesi Mtwara
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC), limeanza kutekeleza hatua za kuanza ujenzi wa bomba la kusafirisha gesi asilia, lenye…
Soma Zaidi » -
Serikali: Ujenzi bomba la mafuta umezingatia sheria zote
SERIKALI imesema inasimamia kikamilifu sekta ya nishati, ikiwemo kuendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika…
Soma Zaidi » -
Watanzania 33,000 hufariki kwa moshi wa kupikia
WASTANI wa Watanzania 33,000 hufariki kila mwaka, kutokana na moshi wa kupikia. Waziri wa Nishati January Makamba alisema hayo jana…
Soma Zaidi » -
Bodi TGDC yatembelea miradi ya kimkakati Mbeya, Songwe
BODI ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi nchini (TGDC), imekamilisha ziara ya siku tatu kutembelea miradi ya kimkakati inayotekelezwa…
Soma Zaidi » -
Shaka afagilia uwekezaji teknolojia ya gesi asilia
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka, amesema fedha zilizotolewa zaidi ya Sh bilioni…
Soma Zaidi » -
TPDC yaanza mchakato kuzalisha gesi asilia Ntorya
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Nchi (TPDC) limeanza mchakato wa kuzalisha gesi asilia katika eneo la Ntorya lilipo katika kata…
Soma Zaidi »