Gesi
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
-
Nyumba 865 kuunganishwa gesi Mtwara, serikali kugawa mitungi ya ruzuku
NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) inatarajia kuunganisha mfumo wa…
Soma Zaidi » -
TPDC boresheni vitalu vya gesi na mafuta
DODOMA: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amelielekeza Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuongeza…
Soma Zaidi » -
EWURA, ERB kusaini makubaliano kuboresha huduma za nishati
Hivi karibuni taasisi hizo mbili za usimamizi zinatarajiwa kusaini hati ya makubaliano kwa ajili ya ushirikiano huo
Soma Zaidi » -
SONGOSONGO| Wajumbe PURA wakunwa na miradi ya CSR
LINDI: Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imefanya ziara maalum Songo Songo, Lindi kujionea…
Soma Zaidi » -
PUMA Tanzania yaungana na Samia matumizi ya nishati safi
Dodoma. Kampuni ya Puma Energy Tanzania imezindua PumaGas jijini Dodoma, hatua inayoonyesha dhamira yake katika kuhakikisha suluhisho la nishati nafuu…
Soma Zaidi » -
PURA watembelea visima vya gesi asilia Mtwara
MTWARA: MAMLAKA ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) na wadau mbalimbali wamefanya ziara mkoani Mtwara katika visima…
Soma Zaidi » -
PURA kuzifungamanisha sekta za mafuta & gesi na elimu
PURA ilianzishwa kwa lengo la kudhibiti mkondo wa juu wa petroli hapa Tanzania
Soma Zaidi » -
Serikali kujenga mtandao mkubwa mabomba ya gesi
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema lengo la serikali ni kuwa na mtandao mkubwa wa…
Soma Zaidi » -
Korea Kusini yavutiwa mkakati nishati safi
KOREA Kusini imesema iko tayari kuunga mkono jitihada za kutekeleza mkakati wa nishati safi ya kupikia ulioasisiwa na Rais Samia…
Soma Zaidi » -
‘Matumizi nishati safi kipaumbele kukabili mabadiliko tabia nchi’
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema licha Bara la Afrika kuwa na mchango mdogo katika…
Soma Zaidi »