Gesi
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
-
Ajenda ya nishati safi inavyoibeba Tanzania
JANUARI 27, mwaka huu macho ya mataifa yote ya Afrika yataelekea Tanzania wakati Mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa…
Soma Zaidi » -
Zaidi ya mil 400 kusambaza mitungi ya gesi Dodoma
CHAMWINO, Dodoma: MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa cha sh 406,712,250 kwa Wakala…
Soma Zaidi » -
Matumizi kuni, mkaa taasisi za umma mwisho leo -Majaliwa
LINDI: WAZIRI Mkuu wa Nchi, Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo …
Soma Zaidi » -
Tanzania mwenyeji mkutano hamasa nishati safi
LINDI: Waziri Mkuu, kassim majaliwa amesema Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa kimataifa kwa ajili ya uhamasishaji wa…
Soma Zaidi » -
Tanzania, Saudia Arabia kushirikiana nishati
NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na Saudi Arabia katika kuimarisha sekta ya nishati hususan katika…
Soma Zaidi » -
Timu yajifunza utekelezaji miradi LNG Indonesia
TIMU ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia (LNG) imeendelea na ziara yake nchini Indonesia…
Soma Zaidi » -
Karatu wachangamkia majiko ya ruzuku
WANANCHI wa wilayani Karatu mkoani Arusha wamejitokeza kwa wingi kujipatia majiko ya gesi ya kilo sita (LPG) yanayotolewa na serikali…
Soma Zaidi » -
Kaya 19,530 kunufaika na majiko ya gesi Arusha
WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma Kampuni ya Lake Gas Limited kwa ajili ya kutekeleza mradi…
Soma Zaidi » -
Majiko ya gesi kutolewa bei ya ruzuku Longido
SERIKALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza usambazaji wa majiko ya gesi (LPG) ya kilo sita kwa bei ya…
Soma Zaidi » -
Samia apigania ajira na nishati safi EAC
RAIS Samia Suluhu Hassan, amesisitiza juu ya umuhimu wa juhudi za pamoja katika kukuza matumizi ya nishati safi ya kupikia…
Soma Zaidi »