Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mavunde: Leseni za madini kwa vikundi, si mtu mmoja

SHINYANGA: WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amesema leseni za uchimbaji madini hazitatolewa kwa mmoja mmoja, bali vijana wanapaswa kuunda vikundi…

Soma Zaidi »

Bei ya dhahabu yapaa, yavunja rekodi dola 4,400 kwa gramu

BEI ya dhahabu imepanda na kuvunja rekodi, ikiuza kwa zaidi ya dola 4,400 kwa gramu kwa mara ya kwanza katika…

Soma Zaidi »

Twiga Minerals Yaipa Tanzania Nuru Mpya ya Maendeleo

TANZANIA inaendelea kung’ara kimataifa kupitia sekta ya madini, huku Twiga Minerals Corporation yenye ubia kati ya Serikali ya Tanzania na…

Soma Zaidi »

Vijana sekta ya madini wahimizwa kupiga kura

MWANZA: UMOJA wa vijana katika sekta ya madini (TYM) umewahimiza wachimbaji wote nchini kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchaguzi…

Soma Zaidi »

PURA yaikaribisha Chevron Tanzania kuwekeza sekta ya mafuta, gesi asilia

ACCRA, GHANA: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeikaribisha moja ya kampuni  kubwa ya nishati ya Marekani ijulikanayo…

Soma Zaidi »

Akiba ya dhahabu BoT yafikia tani 6

GEITA: WIZARA ya Madini imeweka wazi kuwa hadi kufikia Julai 2025 Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ina hifadhi ya tani…

Soma Zaidi »

Kampuni yaaminiwa upimaji madini

KATIKA kukuza sekta ya madini nchini na nje ya nchi kampuni ya kizawa ya Nesch Mintech imeaminiwa na Kampuni ya…

Soma Zaidi »

Serikali yazuia usafirishaji haramu wa almasi Bil.1.7

SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imefanikiwa kuzuia jaribio la kusafirisha kinyume cha sheria madini ya almasi yenye thamani ya dola…

Soma Zaidi »

Wazawa hawimizwa kuchangamkia fursa madini

DAR ES SALAAM: Wazawa waliopo kwenye sekta ya madini wamehimizwa kuchangamkia fursa zilizopo kwenye sekta ya madini ili kuchechemua na…

Soma Zaidi »

Mavunde kuongoza kongamano la Madini Geita

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde anatarajiwa kuongoza kongamano la wachimbaji wadogo nchini linatalorajiwa kufanyika kitaifa Mei 11, 2025 katika Mamlaka…

Soma Zaidi »
Back to top button