Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mabadiliko Sheria ya Madini yawabeba Watanzania

ARUSHA: MABADILIKO ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010 yametoa fursa kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini na kuhakikisha Watanzania wananufaika…

Soma Zaidi »

Waishukuru Serikali mazingira mazuri ya uwekezaji

ARUSHA: KAMPUNI ya Uchimbaji wa Dhahabu ya Geita (GGML) imeishukuru Serikali kwa kutoa mazingira mazuri ya uwekezaji. Akizungumza leo Mei…

Soma Zaidi »

‘Changamkieni fursa sekta ya madini’

ARUSHA: WATANZANIA wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo katika uwekezaji katika sekta ya madini ili kuupiga jeki uchumi wa taifa kwa kutengeneza…

Soma Zaidi »

Mkakati wawekwa kuongeza thamani madini

SERIKALI imeweka mkakati  kuhakikisha madini yote yanaongezwa thamani hapa nchini kabla ya kusafirishwa kwenda nje ya nchi. Hayo yamesemwa na…

Soma Zaidi »

Jukwaa sekta ya madini kufanyika Arusha Mei 22

ARUSHA: Jukwaa la Tatu la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika sekta ya madini litafanyika Mei 22 hadi 24, 2024…

Soma Zaidi »

‘Mikakati sita kuinua wachimbaji wadogo’

  DODOMA: SERIKALI imebainisha mikakati sita ya kusaidia kutatua changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo nchini. Akitangaza mikakati hiyo, Waziri wa Madini,…

Soma Zaidi »

Gesi bei chini, mkaa juu – Chalamila

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema ifike wakati bei ya gesi iwe chini…

Soma Zaidi »

Waitahadharisha serikali harufu ya upigaji migodini

MIRERANI, Arusha: WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ameshauriwa na wamiliki wa migodi ya madini ya Tanzanite kuwa macho dhidi ya…

Soma Zaidi »

Bei ya petroli, dizeli yapaa

DAR ES SALAAM: Bei za mafuta ya petroli na dizeli zimepaa nchini mwezi huu wa Aprili 2024 ikilinganishwa na Machi…

Soma Zaidi »

Mavunde kuifanya Dodoma ya kimichezo

DODOMA: MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde ameanza ujenzi wa viwanja vya michezo ya mpira wa kikapu (basketball),…

Soma Zaidi »
Back to top button