Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

CSR| Usimamizi wa PURA waendelea kuzaa matunda kwa jamii

Kupitia programu hiyo, iliyoanza mwaka 2022/2023, idadi ya wanufaika na wahitimu wa fani mbalimbali kutoka mkoa huo kufikia 71

Soma Zaidi »

DC Lindi: “Jitihada hazijawahi kumtupa mtu”

LINDI: Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Mwanziva, amewaahauri vijana wanaotoka wilaya hiyo kuongeza juhudi  kwa kila walifanyalo ili kutimiza…

Soma Zaidi »

Dar kinara makusanyo ya maduhuli

MKOA wa Dar es Salaam umeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini kwa mwaka…

Soma Zaidi »

Serikali yazuia usafirishaji haramu wa almasi Bil.1.7

SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imefanikiwa kuzuia jaribio la kusafirisha kinyume cha sheria madini ya almasi yenye thamani ya dola…

Soma Zaidi »

Wananchi Lindi watakiwa kuchangamkia fursa za madini

WANANCHI wa Mkoa wa Lindi wametakiwa kuacha uvivu na badala yake wachangamkie fursa zilizopo kwenye sekta ya madini hususani katika…

Soma Zaidi »

Tanzania yanadi fursa za uwekezaji mnyororo madini muhimu London

TANZANIA imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha maendeleo ya Sekta ya Madini barani Afrika, kwa kuelezea mikakati madhubuti ya…

Soma Zaidi »

Mavunde aongoza kikao cha kimkakati wa kiuchumi kupitia STAMICO

SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limekaa mguu sawa kuhamia kwenye uwekezaji mkubwa wa Madini Muhimu na Madini Mkakati. STAMICO…

Soma Zaidi »

Madini wakusanya zaidi ya bil 902/-

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Sekta ya Madini nchini imeendelea kupiga hatua kubwa, ambapo maduhuli ya zaidi ya…

Soma Zaidi »

Huduma sekta ya madini kuanza kutolewa Mtumba leo

WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde amesema kuanzia leo huduma mbalimbali za Wizara ya Madini zitaanza kutolewa rasmi katika jengo la…

Soma Zaidi »

Wazawa hawimizwa kuchangamkia fursa madini

DAR ES SALAAM: Wazawa waliopo kwenye sekta ya madini wamehimizwa kuchangamkia fursa zilizopo kwenye sekta ya madini ili kuchechemua na…

Soma Zaidi »
Back to top button