Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mbio za TCB Selous kuchochea utalii Moro

MOROGORO: NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, amesema TCB Selous Marathon iliyofanyika kwa msimu wa saba…

Soma Zaidi »

Simba yatangulia fainali kibabe

ARUSHA;Simba ya Dar es Salaam imetinga kibabe fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB, baada ya kuitandika Coastal Union ya…

Soma Zaidi »

Tamasha la watoto wanaoishi mazingira magumu laiva

KILIMANJARO; Zaidi ya watoto 2,000 wanaoishi katika mazingira magumu wanatarajiwa kushiriki Tamasha la Kwanza la Michezo litakalofanyika Juni 21, 2026…

Soma Zaidi »

Yanga wakitaka lao usilete mdomo!

KIGOMA;YANGA wakitaka lao usilete mdomo! Pengine ndivyo unavyoweza kuzungumzia matokeo ya mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara kati ya Mashujaa…

Soma Zaidi »

Chalamila atembelea kituo cha TFF Kigamboni

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema ujenzi wa kituo Uwanja Cha Shirikisho la…

Soma Zaidi »

Mkakati waiva kukuza vipaji UMITASHUMTA, UMISETA

IRINGA: SERIKALI imetangaza mkakati mpya wa kitaifa wa kutambua, kusajili na kufuatilia vipaji vinavyoibuliwa kupitia mashindano ya UMITASHUMTA na UMISETA,…

Soma Zaidi »

Malengo ya JKT Marathon yaleta mafanikio kwa jamii

DODOMA: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud amesema SUMA JKT Marathon imefanikiwa kufikia malengo yake…

Soma Zaidi »

Kinondoni yazindua hamasa kushangilia Serengeti Boys

DAR ES SAALAAM :MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule, amewahamasisha wakazi wa Tandale na Kinondoni kwa ujumla kujitokeza kwa…

Soma Zaidi »

Mafanikio Serengeti Boys yatinga bungeni

DODOMA; MBUNGE wa Bunda Mjini, Amos Bulaya muda huu anawasilisha hoja bungeni kuhusu Azimio la Bunge kuipongeza timu ya Taifa…

Soma Zaidi »

Manara ateuliwa msemaji timu za Taifa

DODOMA: WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amemteua Haji Manara kuwa msemaji wa timu zote za Taifa…

Soma Zaidi »
Back to top button