Bunge

Mbunge ashauri kuongezwa kampuni ya mwendokasi

SERIKALI imeshauriwa kuangalia uwezekano wa kuongeza kampuni nyingine ya mabasi yaendayo haraka ili kupunguza changamoto ya upatikanaji wa huduma hiyo…

Soma Zaidi »

Vijiji 76 Newala Vijijini vyafikiwa na umeme

NAIBU Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema vijiji vyote 76 vya Jimbo la Newala Vijijini Mkoa wa Mtwara vimefikiwa na huduma…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu ateta na Dk Dugange bungeni

Soma Zaidi »

Kamati yaridhishwa ujenzi kituo cha zimamoto

KAMATI ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imeridhishwa na ujenzi wa kituo cha zimamoto kilichopo Mtumba…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu atoa maelekezo uendeshaji SGR

DODOMA: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi iendelee kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha…

Soma Zaidi »

Serikali yaonya wezi matukio ya ajali

DODOMA; NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo amesema serikali itaendelea kuchukua hatua kali kwa watakaobainika kuiba…

Soma Zaidi »

Serikali: Umeme umefika vijiji 11,973

DODOMA: Serikali imesema vijiji 11,973 sawa na asilimia 97.2 ya vijiji vyote vimefikiwa na huduma ya umme inayotolewa na Wakala…

Soma Zaidi »

Deni la Taifa lafikia Sh trilioni 91.7

Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema deni la taifa limeongezeka na kufikia Sh trilioni 91.7 hadi Machi…

Soma Zaidi »

Serikali: Gharama za manunuzi zilishuka 2023

DODOMA; GHARAMA za manunuzi nchini Tanzania zilipungua kwa wastani wa asilimia 3.8 mwaka 2023 ikilinganishwa na asilimia 4.3 mwaka 2022,…

Soma Zaidi »

Masuala 10 yatakayopewa msukumo haya hapa

DODOMA; WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo ameeleza masuala 10 yatakayopewa msukumo kuhakikisha ukuaji…

Soma Zaidi »
Back to top button